Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
-
- #81
Jamaa ana theory eti inflation inatokana na demand pull ma cost push pekeake, anashindwa kuelewa inflation nyingi za nchi maskini zipo driven sana na upande wa supply ya vitu kama ulivosema mwanzoJibu hoja vitu vimepanda bei mbona bila mishahara kupanda?
Pitia uzi vizuri, hivi vitu viwili ni tofauti kabisa. Non related.. na nimetoa majibu kuhusu comment yakoUkitaka kujua life isn't fair, ww ukilalamika maslah kuna kijana kakaa mtaani miaka 5 bila ajira, anataman apate hyo nafas alipwe ata hcho kipato kidogo.
Mkuu unajitoa ufahamu sana, kwa hiyo ni kwamba unapinga ongezeko la mishahara?... Toa msimamo wako tueleweNani katajirika kwa penshenii jaamaaniii???
Mvivu tu wa kusomaTechnically umekubaliana na mimi kwamba, ili kupunguza madhara ya inflation kwenye purchasing power lazima mshahara upande..
Sijui kwanini umempinga mwenzako?
Kwa hiyo wewe kuelezea hizo demand pull na cost push ndo unajiona kwamba umeyapatia maisha??Mvivu tu wa kusoma
Mmmh [emoji848]Kwa hiyo wewe kuelezea hizo demand pull na cost push ndo unajiona kwamba umeyapatia maisha??
Nimesoma ulichoandika ila nimeamua kuto ku comment kwa sababu ulichosema hakina uhalisia juu ya causes of inflation in developing countries.
Inflation in developing countries kama Tanzania ipo driven sana na supply side factors ambazo alielezea mdau Papi Ndomba lakini umempinga kwa kutokujua
Ongezeko la mshahara lipo, lakini halijawa kipimo sahihi chakuboresha maisha.Mkuu unajitoa ufahamu sana, kwa hiyo ni kwamba unapinga ongezeko la mishahara?... Toa msimamo wako tuelewe
Kaharibu kila kituIla aliyeleta control Number ni Mwamba sana!!!
Wachawi nchi hii wapo wengiusiwaweke walimu wa shule za serikali hapo maana hakuna wanacho zalisha huko mashuleni. Hivyo naikataa hiyo kanuni yako.
Sasa kwanini huwa wanapandisha mishahara? Yaani kwanini mshahara wa sasa hivi ni tofauti na ule wa mwaka 2005?Tufungulie hiyo page ya welfare economics, tuone kama inaeleza mwamba kupanda kwa mshahara ndio suluhisho la maisha bora kwa mtumishi
Ni kweli mkuu, mfanyakazi wa hospitali ni rahisi kumwongezea mshahara kwasababu anazalisha pesa kwa kutibu wagonjwa, na kila mgonjwa anayetibiwa hospitali analipia huduma. Lakini mwalimu hazalizhi fedha yoyote zaidi anatumia fedha za serikali kulipwa mshahara, kununulia vitabu, chaki n.k. Kumwongezea mshahara inakuwa ni kazi kidogo, fedha ya kumwongezea unaitoa wapi hapo.Wachawi nchi hii wapo wengi
Unataka useme shule zifutwe maana hazizalishi kitu.Tubakiwe na mahospital na TRA pekee yake?ni kweli mkuu, mfanyakazi wa hospitali ni rahisi kumwongezea mshahara kwasababu anazalisha pesa kwa kutibu wagonjwa, na kila mgonjwa anayetibiwa hospitali analipia huduma. Lakini mwalimu hazalizhi fedha yoyote zaidi anatumia fedha za serikali kulipwa mshahara, kununulia vitabu, chaki n.k. Kumwongezea mshahara inakuwa ni kazi kidogo, fedha ya kumwongezea unaitoa wapi hapo.
Endelea kutafakari utapata majibu nini cha kufanya, lakini Kuongezewa mishahara kwa huduma inayotolewa bure ni ngumu hapa duniani because workers they don't provide any profit in terms of money.Unataka useme shule zifutwe maana hazizalishi kitu.Tubakiwe na mahospital na TRA pekee yake?
Uliona wapi mshahara kupanda ikandionjia ya watu kufanikiwa kimaishaaa? Acheni ubishi. Kupanda itapandishwa hata ikifika bilioni kumi kwa mwezi, ilekuitwa mshahara sahau kutusua maishani. Hakuna mtu aliyewahi kufanikiwa kwa njia ya mshahara wa kulipwa mwisho wa mwezii..Sasa kwanini huwa wanapandisha mishahara? Yaani kwanini mshahara wa sasa hivi ni tofauti na ule wa mwaka 2005?
Kwanini mtu afanikiwi kwa mshahara kuwa mkubwa, jibu lenye weredi tafadhari.Uliona wapi mshahara kupanda ikandionjia ya watu kufanikiwa kimaishaaa? Acheni ubishi. Kupanda itapandishwa hata ikifika bilioni kumi kwa mwezi, ilekuitwa mshahara sahau kutusua maishani. Hakuna mtu aliyewahi kufanikiwa kwa njia ya mshahara wa kulipwa mwisho wa mwezii..
Haiwezekani, mshahara ni posho ndogo saaanaa.Kwanini mtu afanikiwi kwa mshahara kuwa mkubwa, jibu lenye weredi tafadhari.
Ujajibu swali kwa weredi.Haiwezekani, mshahara ni posho ndogo saaanaa.