Shayu
Platinum Member
- May 24, 2011
- 608
- 1,655
Kwa wanaodai serikali tatu naomba watambue iko kinyume na natural law of equlibrium hakuna uwezekano wowote serikali hizo kufanya kazi bila muungano kuvunjika. Hakutakuwepo ''balance of power'' Collision itakuwepo kati ya raisi wa Tanganyika NA YULE WA MUUNGANO. Hakutakuwa na harmonization yeyote. Wanaodai serikali tatu either ni wajinga au wana ajenda ya kuvunja muungano wanaogopa kuiweka wazi. Tatizo litakalo zuia balance hii of power ni udogo wa zanzibar, ingekuwa kenya na Tanzania zimeungana Muungano wa serikali tatu ungekuwa possible. Kwahiyo nakubaliana na muungano uliopo kwa asilimia zote kwakuwa unagusa mantiki ya fikra.