Shayu, unawaona walio tofauti na wewe ni wajinga. Unatumia kipimo gani? Binadamu mwenye hekima na busara hutoa hoja zake kwa kile anachoamini ili wenzake wapime kama hoja zake zina mashiko. Wewe ni nani ambaye unataka mawazo yako ndiyo yafuatwe na watu wote?
Katiba tunayoandaa ni kwa Watanzania wote. Ukitaka katiba iwe kwa mujibu wa mawazo ya CCM ni mhaini wa Taifa hili na hakika hulitakii Taifa letu mema. Katiba ni lazima izingatia mawazo ya watu wote ikiwa ni pamoja na waliopo magerezani. Tafadhali jifunze kuwa binadamu.