tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,755
- 764
Unafananisha East Afrika community na muungano wa Tanzania na Zanzibar mbona ni mambo mawili tofauti kabisa embu jaribu kusoma hoja yangu juu khalafu ujaribu kufikiri kwanza kabla hujanijibu.
wewe una mtazamo wa upande mmoja,umaposema zanzibar ni nchi ndogo katika nini?
mipaka
idadi ya watu
kiuchumi au kitu gani.
ngoja nikurahisishie.zanzibar kama watajioganise kupitia serikali yao huwenda wao ndo wakaisaidia tanganyika since kwamba
_watakuwa na wawakilishi wao kwenye jumuia mbalimbali za kimataifa
_watakuwa huru kukopa au kupokea msaada kutoka kwa wahisani mbalimbali duniani
_watakuwa na fedha yao ambayo kutokana vivutio vyao wanaweza kupata fedha nyingi za kigeni ambazo zita inua thamani ya pesa zao.
_na ukiangalia zanziba haiitaji matumizi makubwa lakini inaposibility nyingi za kukuza gnp na gdp.
_kutokana na kigezo cha udogo wa zanzibar nikutoe wasiwasi kuwa.zanziba itachangia serikali kuu kwa mujibu nafasi yao katika muungano na si kama unavyodhani juu ya equebram in decition making.