Shayu
Platinum Member
- May 24, 2011
- 608
- 1,655
- Thread starter
- #21
Nenda Zanzibar ukawaulize kama kwa muundo huu wa serikali mbili kuna usawa? Jibu watalokupatia rudi nalo bila kuingiza itikadi za udini,uchama au utaifa.Ukiona hiyo ni kazi ngumu usifanye conclusion kwani masuala mengine hayahitaji application of scientific of experiment kuujua ukweli wala logical argument but the willingness of the people!
Kwa hiyo huu muungano wa sasa una kwenda sambamba na natural law of equilibrium?
Tatizo unawaza kwa kutumia nyayo. Wazanzibar hawana shida na muungano wao wanataka uhuru kamili wa nchi yao, kukuwa na serikali moja au mbili au tatu hata nne au tano. wao wanachotaka ni kuwa na uhuru kamili wa kujiamulia mambo yao wenyewe full stop. Na sisi wa bara we dont care how many serilali will be there what we need is our Tanganyika huru, tujiamulie mambo yetu wenyewe full stop.
Wewe nani alie kwambia kuwa kwakuwa Wazanzibar wako wachache hawawezi kuwa na serikali yao wenyewe? hivi hujui kuwa kuna nchi zenye wananchi wachache kuliko zanzibar na bado wana serikali zao na kujitawala wenyewe.
Taifa hili halihitaji watu kama wewe linahitaji watu wanao argue logically. Linahitaji watu watakaolisaidia kwa kutoa maarifa waliyonayo uko too Emotional tumia akili yako ndugu.