Law of equilibrium The condition of a system in which all competing influences are balanced, in a wide variety of contexts. kwa mtazamo huu ni wazi muungano utavunjika balance ingekuwepo kama zanzibari ingekuwa na ukubwa kama wa kenya kwa mfano kungekuwa na harmony nzuri.
Serikali ya Tanganyika na ya muungano zitashindana katika influence matokeo yake muungano utavunjika. Hata hivyo ni gharama kubwa kuendesha serikali tatu. Serikali mbili ni yenye faida sana kwetu. Lakini pia muungano huu ni wenye faida pia kwa wanzibar kwa sababu za kisiasa UUNGUJA/ UPEMBA. Sisi ndio tunaowafanya wao kujiita wazanzibar nakubaliana na mwalimu nyerere. He was a great thinker.
Ujinga sio tusi nenda kaangalie kamusi ya kiswahili na ile ya kiingereza ignorance maana yake ni nini.
Kwa wanaodai serikali tatu naomba watambue iko kinyume na natural law of equlibrium hakuna uwezekano wowote serikali hizo kufanya kazi bila muungano kuvunjika. Hakutakuwepo ''balance of power'' Collision itakuwepo kati ya raisi wa Tanganyika NA YULE WA MUUNGANO. Hakutakuwa na harmonization yeyote. Wanaodai serikali tatu either ni wajinga au wana ajenda ya kuvunja muungano wanaogopa kuiweka wazi. Tatizo litakalo zuia balance hii of power ni udogo wa zanzibar, ingekuwa kenya na Tanzania zimeungana Muungano wa serikali tatu ungekuwa possible. Kwahiyo nakubaliana na muungano uliopo kwa asilimia zote kwakuwa unagusa mantiki ya fikra.
Mkuu ukubali ukatae umeileta hoja kibabe na kuwa undermine wale wote wenye mawazo tofauti na yako
Ujinga linaweza lisiwe tusi lakini wewe umelitumia kwenye msingi gani?
Kama rangi nyekundu dunia nzima inajua hivyo na mimi nikasema hapana ni nyeupe basi unahaki ya kuniita mjinga
Lakini mambo ya muungano its a matter of opinion according to situation, not a fact
Sasa opinion yako ukiigeuza ndio fact na kuwaona wajinga wenye opinion tofauti na yako mimi nadhani wewe ndio mjinga kwa kutokujua hii si sawa na 2+2=4, hii ni mtazamo wa mtu na jinsi anavyoona sahihi na kutetea hoja yake
Tatizo kwenye hoja yako ni kuhalalisha mawazo yako kuwa ndio "ukweli" na jibu sahihi na kinyume cha happ ni ujinga
Ungeweza kutoa mawazo yako tu na kuacha mjadala wazi
Wacha pumba hizo, zanzibar ilikuwapo hata kabla ya tanganyika na hiyo tanzania yako,sasa unaposema "nyinyi ndio manaowafanya wao kujiita zanzibar" maana yake nini wacha fikra mgando hizo eti tu Juliasi kasema na wewe useme.
Kwa taarifa yako ndio nchi pekee katika africa iliyokuwa Empire ikizihodhi tanganyika, kenya n.k
Elimika kabla kuleta pumba zako humu
Nimeomba hapa mtu aje na structure ya mfumo wa serikali tatu utakavyofanya kazi bila kuadhri kuvunjika kwa muungano mkija nao ikaonekana kabisa mfumo huo utafanya kazi bila muungano kuvunjika mimi nitakubali kuwa ni mjinga.
Kwa wanaodai serikali tatu naomba watambue iko kinyume na natural law of equlibrium hakuna uwezekano wowote serikali hizo kufanya kazi bila muungano kuvunjika. Hakutakuwepo ''balance of power'' Collision itakuwepo kati ya raisi wa Tanganyika NA YULE WA MUUNGANO. Hakutakuwa na harmonization yeyote. Wanaodai serikali tatu either ni wajinga au wana ajenda ya kuvunja muungano wanaogopa kuiweka wazi. Tatizo litakalo zuia balance hii of power ni udogo wa zanzibar, ingekuwa kenya na Tanzania zimeungana Muungano wa serikali tatu ungekuwa possible. Kwahiyo nakubaliana na muungano uliopo kwa asilimia zote kwakuwa unagusa mantiki ya fikra.
Ujinga sio tusi nenda kaangalie kamusi ya kiswahili na ile ya kiingereza ignorance maana yake ni nini.
Kwa wanaodai serikali tatu naomba watambue iko kinyume na natural law of equlibrium hakuna uwezekano wowote serikali hizo kufanya kazi bila muungano kuvunjika. Hakutakuwepo ''balance of power'' Collision itakuwepo kati ya raisi wa Tanganyika NA YULE WA MUUNGANO. Hakutakuwa na harmonization yeyote. Wanaodai serikali tatu either ni wajinga au wana ajenda ya kuvunja muungano wanaogopa kuiweka wazi. Tatizo litakalo zuia balance hii of power ni udogo wa zanzibar, ingekuwa kenya na Tanzania zimeungana Muungano wa serikali tatu ungekuwa possible. Kwahiyo nakubaliana na muungano uliopo kwa asilimia zote kwakuwa unagusa mantiki ya fikra.
Unapendekeza nini kifanyike kupunguza gharama za uendeshaji zinazoingiwa kwa sasa?ai se
"Katiba ijayo lazima sasa iondoe kinga kwa marais ili mtu yeyote aweze kumshtaki Rais na hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa," Mateo Qaresi (July 2013).
Hii Physics ya kipuuzi kweli, Mulugo mkubwa wewe, state of balance itakuwepo kwa kubadili pivot! Currently kwa principle of moments, Clockwise moment is not equal to anticlockwise moment
Muungano si Shrikisho? Shirikisho si Muungano? Tofauti yao ni nini?Tofautisha kati ya muungano na shirikisho.
Muungano si Shrikisho? Shirikisho si Muungano? Tofauti yao ni nini?
Nimekusoma mkuu hoja zako zote ni kuulinda muungano na upo tayari kupoteza kila kitu kuulinda muungano,sasa kwenye huu muungano wako wa serekali 2 kwa upande wa z'br kujitangazia nchi hichi c kiashiria cha kuvunja muungano?upande mmoja umeshajitangazia nchi watanganyika mnasubiri nn?