Utopolo acheni kuwapa hela wachezaji wa timu inayocheza na Simba ili wavunje wachezaji wa Simba tafuteni Ubingwa kwa Fair Play sio kutoa rushwaAisee pamoja na hayo lakini mateke na karatee wanayopigwa wachezajj wa Simba ni hatari kwa maisha. Ike mechi dhidi ya Namungo kuna mchezaji wa Simba alipigwa teke la kichwa, kama lingempata barabara network ingekata, nashangaa jamaa hakula umeme.
Katika mechi 4 alizocheza Simba, wapinzani wao wamepigwa nyekundu 4! Hii ni aibu na fedheha kwa ligi yetu.
Vv
Achana nao hawana akili Hawa. Ndio maana mwenyekiti wao (ismael Aden Rage) akiwahi kuwaita Mbumbumbu"GSM wanawapa timu ndogo hela ili wawakazie Simba", alisikika Great Thinker wa jf.
Pia Jwaneng Galaxy walipewa mbinu na Manara ili wawafunge Simba, dah nchi ngumu hii.
Manara ndio alimwambia Wawa asiwe anapiga mipira ya kichwa? Simba tulieni msuke kikosi. Pia dhambi ya kuwaweka benchi Kagere na Ajibu itawatafuna sana.
KimeumanaGSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja.
GSM kuona Mipango yao bado haijakaa sawa ili Kuibeba Yanga SC yao sasa wameamua kutumia Mbinu ya Kipumbavu ambayo hata kwa Sheria za FIFA na za FAIR COMPETITION si tu hazikubaliki bali hazitakiwi pia.
GSM sasa tena kwa kufanya Kimya Kimya / kwa Siri wameamua Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu yaani NBC PREMIER LEAGUE ili zikiwa zinacheza na Yanga SC yao ipate Unafuu wa Ushindi ila Vilabu hivyo vikiwa vinacheza na Wapinzani wao wakubwa Simba SC viwe vinaikazia kwa ama Kuifunga au hata tu kutoka nayo Sare.
Kinachonisikitisha zaidi Uhuni na Upumbavu huu usio na Haki katika Ushindani Michezoni unafanywa na GSM halafu Serikali kupitia Wizara ya Michezo imekaa Kimya, TFF na Bodi ya Ligi wamekaa Kimya na Wahusika Wakuu wa Kupambana na Kuzuia Rushwa na Dalili zake zote TAKUKURU wamekaa Kimya.
Akitokea tu Mtu Mmoja au Klabu Moja ikajipanga vyema kwa Sheria na Ushahidi wa Kutosha juu ya Uhuni na Upumbavu huu wa GSM katika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kwa nia ya kupata Unafuu ikicheza nazo na akaenda Kushtaki FIFA kuna uwezekano mkubwa NBC Premier League ikaingia matatizoni, Klabu Moja kubwa Kufungiwa, huyu Mdhamini wao Mkuu GSM Kushtakiwa na hata Mpira wa Tanzania Kuharibika rasmi.
Hakuna Mfanyabiashara Mstaarabu na Muungwana Tanzania hii kama Mzee Bakhressa na Kampuni yake ya Azam. Na hakuna pia Kampuni ambayo ni Tajiri Tanzania nzima kama ya Azam.
Azam Wana Timu yao ya Azam FC ila kwa miaka Saba sasa wanapambana Kuwa Mabingwa ila bado hawajafanikiwa. Lakini sijawahi ama Kuona au Kusikia mahala popote pale Azam wakizihonga Timu mbalimbali za Ligi Kuu ya Tanzania ili ziiachie na iwe Bingwa japo ina uwezo wa Kifedha maradufu ya hawa Matapeli wa GSM ila wameamua Kupambana kwa Kucheza tu Uwanjani.
Kama GSM kweli walikuwa na nia ya Kuvidhamini Vilabu vya Ligi Kuu ya Tanzania NBC PREMIER LEAGUE walikuwa wapi Kujitokeza pale TFF na Bodi ya Ligi walipokuwa wanatafuta Wadhamini?
Hivi leo hii Mo Dewji na Kampuni yake / Kampuni zake angeamua nae Kufanya Uhuni na Upumbavu huu usio wa Haki unaofanywa na GSM kwa Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu tena Kisirisiri / Kimya Kimya na kuwaambia wawe wanaikamia tu Yanga SC ila zikiwa zinacheza na Simba SC wawe wanailegezea FAIR COMPETITION ingekuwepo?
Sasa kama unatamba kuwa na Kikosi kizuri na unasema msimu huu Kombe ni lako kwa Soka Kubwa unalocheza kwanini unahangaika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kisha unavipa Ahadi ya Tsh Milioni 15 vikiishinda Simba SC na Tsh Milioni 10 vikitoka nayo Sare mpaka unasababisha Wachezaji wa hizo Timu Kuikamia Simba SC, Kuwaumiza kwa Makusudi Wachezaji wake na pale Wakifungwa baada ya Filimbi ya mwisho badala ya kuondoka Uwanjani wanaanza Kuangua Vilio, Kugombana na Kulaumiana mno?
GSM wameshaiharibu Ligi Kuu ya NBC.
Mbumbumbu katika ubora wako. Kuna tofaut kati ya umiliki na udhamini. FIFA inakataza kumiliki vilabu viwili katika ligi moja sio udhamin
Tunachosikitika ni kukamiwa kwa kufanyiwa rafu nyingi sana.Figisu zipi? Kama Yanga inahusika kwa kuwapa timu pinzani ili wawaachie basi hapo ndio itakuwa ni kosa na ile nadharia ya Yanga kuwa na kikosi imara itakuwa haipo. Ila kama Yanga inawapa motisha timu pinzani ili washinde au kutoa sare. Hapo ndio Simba itumie ubora wao kuonesha uwezo wao, kwahiyo nyie mmezoea kucheza kwa kuachiwa na vitimu vidogo vidogo?
Unawivu wa kike ndugu, punguza wivu upate afyaSimba SC wakijipanga vyema kwa Hoja na Ushahidi na kwenda Kushtaki FIFA nakuhakikishia Ndugu Ligi Kuu ya Tanzania NBC inaenda kuingia matatizoni na kuna Balaa Kubwa litatokea katika Soka la Tanzania.
GSM wasidhani Watanzania wote ni Wapumbavu kama walivyowazoea wa Klabu yao ambao wamezoea Kuwahadaa na Kuwadanganya Kutwa huku wakiwadhulumu katika Pesa za Uuzaji wa Jezi zao.
Ama kweli Aden Rage hakukosea aliposema mashabiki wa Makolo ni Mbumbumbu:-GSM sasa tena kwa kufanya Kimya Kimya / kwa Siri wameamua Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu yaani NBC PREMIER LEAGUE ili zikiwa zinacheza na Yanga SC yao ipate Unafuu wa Ushindi ila Vilabu hivyo vikiwa vinacheza na Wapinzani wao wakubwa Simba SC viwe vinaikazia kwa ama Kuifunga au hata tu kutoka nayo Sare.
Hao walioko serikalini sio mbumbumbu kama mashabiki wa Makolo!Kinachonisikitisha zaidi Uhuni na Upumbavu huu usio na Haki katika Ushindani Michezoni unafanywa na GSM halafu Serikali kupitia Wizara ya Michezo imekaa Kimya, TFF na Bodi ya Ligi wamekaa Kimya na Wahusika Wakuu wa Kupambana na Kuzuia Rushwa na Dalili zake zote TAKUKURU wamekaa Kimya.
Povu na matusi yote ya nini, Kolo?!Akitokea tu Mtu Mmoja au Klabu Moja ikajipanga vyema kwa Sheria na Ushahidi wa Kutosha juu ya Uhuni na Upumbavu huu wa GSM katika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kwa nia ya kupata Unafuu ikicheza nazo na akaenda Kushtaki FIFA kuna uwezekano mkubwa NBC Premier League ikaingia matatizoni, Klabu Moja kubwa Kufungiwa, huyu Mdhamini wao Mkuu GSM Kushtakiwa na hata Mpira wa Tanzania Kuharibika rasmi.
Kweli we Kolo...Hakuna Mfanyabiashara Mstaarabu na Muungwana Tanzania hii kama Mzee Bakhressa na Kampuni yake ya Azam. Na hakuna pia Kampuni ambayo ni Tajiri Tanzania nzima kama ya Azam.
Azam Wana Timu yao ya Azam FC ila kwa miaka Saba sasa wanapambana Kuwa Mabingwa ila bado hawajafanikiwa. Lakini sijawahi ama Kuona au Kusikia mahala popote pale Azam wakizihonga Timu mbalimbali za Ligi Kuu ya Tanzania ili ziiachie na iwe Bingwa japo ina uwezo wa Kifedha maradufu ya hawa Matapeli wa GSM ila wameamua Kupambana kwa Kucheza tu Uwanjani.
Umeanza lini kufuatilia soka kiasi kwamba unashindwa kutofautisha kati ya mdhamini wa ligi na mdhamini wa vilabu?Kama GSM kweli walikuwa na nia ya Kuvidhamini Vilabu vya Ligi Kuu ya Tanzania NBC PREMIER LEAGUE walikuwa wapi Kujitokeza pale TFF na Bodi ya Ligi walipokuwa wanatafuta Wadhamini?
Ndo tatizo la kuwa na Think Tank Shaffii DaudaHivi leo hii Mo Dewji na Kampuni yake / Kampuni zake angeamua nae Kufanya Uhuni na Upumbavu huu usio wa Haki unaofanywa na GSM kwa Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu tena Kisirisiri / Kimya Kimya na kuwaambia wawe wanaikamia tu Yanga SC ila zikiwa zinacheza na Simba SC wawe wanailegezea FAIR COMPETITION ingekuwepo?
Hapa ndo umethibitisha ile kauli ya Aden Rage...Sasa kama unatamba kuwa na Kikosi kizuri na unasema msimu huu Kombe ni lako kwa Soka Kubwa unalocheza kwanini unahangaika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kisha unavipa Ahadi ya Tsh Milioni 15 vikiishinda Simba SC na Tsh Milioni 10 vikitoka nayo Sare mpaka unasababisha Wachezaji wa hizo Timu Kuikamia Simba SC, Kuwaumiza kwa Makusudi Wachezaji wake na pale Wakifungwa baada ya Filimbi ya mwisho badala ya kuondoka Uwanjani wanaanza Kuangua Vilio, Kugombana na Kulaumiana mno?
Ina maana GSM ndo anawafanya muwe mnashinda kwa mbinde, au?GSM wameshaiharibu Ligi Kuu ya NBC.
Kwahiyo hayo Makolo yatajipanga vizuri kupitia hoja zipi?Simba SC wakijipanga vyema kwa Hoja na Ushahidi na kwenda Kushtaki FIFA nakuhakikishia Ndugu Ligi Kuu ya Tanzania NBC inaenda kuingia matatizoni na kuna Balaa Kubwa litatokea katika Soka la Tanzania.
GSM wasidhani Watanzania wote ni Wapumbavu kama walivyowazoea wa Klabu yao ambao wamezoea Kuwahadaa na Kuwadanganya Kutwa huku wakiwadhulumu katika Pesa za Uuzaji wa Jezi zao.
GSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja.
GSM kuona Mipango yao bado haijakaa sawa ili Kuibeba Yanga SC yao sasa wameamua kutumia Mbinu ya Kipumbavu ambayo hata kwa Sheria za FIFA na za FAIR COMPETITION si tu hazikubaliki bali hazitakiwi pia.
GSM sasa tena kwa kufanya Kimya Kimya / kwa Siri wameamua Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu yaani NBC PREMIER LEAGUE ili zikiwa zinacheza na Yanga SC yao ipate Unafuu wa Ushindi ila Vilabu hivyo vikiwa vinacheza na Wapinzani wao wakubwa Simba SC viwe vinaikazia kwa ama Kuifunga au hata tu kutoka nayo Sare.
Kinachonisikitisha zaidi Uhuni na Upumbavu huu usio na Haki katika Ushindani Michezoni unafanywa na GSM halafu Serikali kupitia Wizara ya Michezo imekaa Kimya, TFF na Bodi ya Ligi wamekaa Kimya na Wahusika Wakuu wa Kupambana na Kuzuia Rushwa na Dalili zake zote TAKUKURU wamekaa Kimya.
Akitokea tu Mtu Mmoja au Klabu Moja ikajipanga vyema kwa Sheria na Ushahidi wa Kutosha juu ya Uhuni na Upumbavu huu wa GSM katika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kwa nia ya kupata Unafuu ikicheza nazo na akaenda Kushtaki FIFA kuna uwezekano mkubwa NBC Premier League ikaingia matatizoni, Klabu Moja kubwa Kufungiwa, huyu Mdhamini wao Mkuu GSM Kushtakiwa na hata Mpira wa Tanzania Kuharibika rasmi.
Hakuna Mfanyabiashara Mstaarabu na Muungwana Tanzania hii kama Mzee Bakhressa na Kampuni yake ya Azam. Na hakuna pia Kampuni ambayo ni Tajiri Tanzania nzima kama ya Azam.
Azam Wana Timu yao ya Azam FC ila kwa miaka Saba sasa wanapambana Kuwa Mabingwa ila bado hawajafanikiwa. Lakini sijawahi ama Kuona au Kusikia mahala popote pale Azam wakizihonga Timu mbalimbali za Ligi Kuu ya Tanzania ili ziiachie na iwe Bingwa japo ina uwezo wa Kifedha maradufu ya hawa Matapeli wa GSM ila wameamua Kupambana kwa Kucheza tu Uwanjani.
Kama GSM kweli walikuwa na nia ya Kuvidhamini Vilabu vya Ligi Kuu ya Tanzania NBC PREMIER LEAGUE walikuwa wapi Kujitokeza pale TFF na Bodi ya Ligi walipokuwa wanatafuta Wadhamini?
Hivi leo hii Mo Dewji na Kampuni yake / Kampuni zake angeamua nae Kufanya Uhuni na Upumbavu huu usio wa Haki unaofanywa na GSM kwa Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu tena Kisirisiri / Kimya Kimya na kuwaambia wawe wanaikamia tu Yanga SC ila zikiwa zinacheza na Simba SC wawe wanailegezea FAIR COMPETITION ingekuwepo?
Sasa kama unatamba kuwa na Kikosi kizuri na unasema msimu huu Kombe ni lako kwa Soka Kubwa unalocheza kwanini unahangaika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kisha unavipa Ahadi ya Tsh Milioni 15 vikiishinda Simba SC na Tsh Milioni 10 vikitoka nayo Sare mpaka unasababisha Wachezaji wa hizo Timu Kuikamia Simba SC, Kuwaumiza kwa Makusudi Wachezaji wake na pale Wakifungwa baada ya Filimbi ya mwisho badala ya kuondoka Uwanjani wanaanza Kuangua Vilio, Kugombana na Kulaumiana mno?
GSM wameshaiharibu Ligi Kuu ya NBC.
Nyie kocha wenu aliwaita manyaniAchana nao hawana akili Hawa. Ndio maana mwenyekiti wao (ismael Aden Rage) akiwahi kuwaita Mbumbumbu
Dah huu ni uhujumu uchumi takukuru pita na hawa gsm yanga
Tulia dawa ikuingie msukule wewe. Kasome tena andiko naona hata hujasoma.Mbumbumbu katika ubora wako. Kuna tofaut kati ya umiliki na udhamini. FIFA inakataza kumiliki vilabu viwili katika ligi moja sio udhamin
Kwa mtu anaeujua mpira hawezi kusema SIMBA ni mbovu. Ni kauli za wale mashabiki vitumbua.Simba hamtaki kukubali kama timu yenu ya msimu huu mbovu.
Kwa hiyo timu hazipaswi kuwakazia mkiwa mnacheza nazo mechi.
Jwaneng galaxy tu wamewakazia kidogo taifa wakawapiga 3 pale pale kwa mkapa. Je na hao walizaminiwa na gsm na kupewa hela ndio maana wakawakazia kwa mkapa?
Unaishi wapi? Limeshafika tayari. Unadhani ni porojo tu.Mkuu ni vyema ukapeleka shauri lako Takukuru ili wakusaidie,Humu JF hutapata kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app