Serikali, TFF, Bodi ya Ligi na TAKUKURU; Kwa uhuni huu wa GSM ile "Fair Competition" inayotakiwa na FIFA ipo wapi?

Aisee pamoja na hayo lakini mateke na karatee wanayopigwa wachezajj wa Simba ni hatari kwa maisha. Ike mechi dhidi ya Namungo kuna mchezaji wa Simba alipigwa teke la kichwa, kama lingempata barabara network ingekata, nashangaa jamaa hakula umeme.

Katika mechi 4 alizocheza Simba, wapinzani wao wamepigwa nyekundu 4! Hii ni aibu na fedheha kwa ligi yetu.

Vv
Utopolo acheni kuwapa hela wachezaji wa timu inayocheza na Simba ili wavunje wachezaji wa Simba tafuteni Ubingwa kwa Fair Play sio kutoa rushwa
 
"GSM wanawapa timu ndogo hela ili wawakazie Simba", alisikika Great Thinker wa jf.

Pia Jwaneng Galaxy walipewa mbinu na Manara ili wawafunge Simba, dah nchi ngumu hii.
Manara ndio alimwambia Wawa asiwe anapiga mipira ya kichwa? Simba tulieni msuke kikosi. Pia dhambi ya kuwaweka benchi Kagere na Ajibu itawatafuna sana.
 
Achana nao hawana akili Hawa. Ndio maana mwenyekiti wao (ismael Aden Rage) akiwahi kuwaita Mbumbumbu
 
GSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja.

GSM kuona Mipango yao bado haijakaa sawa ili Kuibeba Yanga SC yao sasa wameamua kutumia Mbinu ya Kipumbavu ambayo hata kwa Sheria za FIFA na za FAIR COMPETITION si tu hazikubaliki bali hazitakiwi pia.

GSM sasa tena kwa kufanya Kimya Kimya / kwa Siri wameamua Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu yaani NBC PREMIER LEAGUE ili zikiwa zinacheza na Yanga SC yao ipate Unafuu wa Ushindi ila Vilabu hivyo vikiwa vinacheza na Wapinzani wao wakubwa Simba SC viwe vinaikazia kwa ama Kuifunga au hata tu kutoka nayo Sare.

Kinachonisikitisha zaidi Uhuni na Upumbavu huu usio na Haki katika Ushindani Michezoni unafanywa na GSM halafu Serikali kupitia Wizara ya Michezo imekaa Kimya, TFF na Bodi ya Ligi wamekaa Kimya na Wahusika Wakuu wa Kupambana na Kuzuia Rushwa na Dalili zake zote TAKUKURU wamekaa Kimya.

Akitokea tu Mtu Mmoja au Klabu Moja ikajipanga vyema kwa Sheria na Ushahidi wa Kutosha juu ya Uhuni na Upumbavu huu wa GSM katika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kwa nia ya kupata Unafuu ikicheza nazo na akaenda Kushtaki FIFA kuna uwezekano mkubwa NBC Premier League ikaingia matatizoni, Klabu Moja kubwa Kufungiwa, huyu Mdhamini wao Mkuu GSM Kushtakiwa na hata Mpira wa Tanzania Kuharibika rasmi.

Hakuna Mfanyabiashara Mstaarabu na Muungwana Tanzania hii kama Mzee Bakhressa na Kampuni yake ya Azam. Na hakuna pia Kampuni ambayo ni Tajiri Tanzania nzima kama ya Azam.

Azam Wana Timu yao ya Azam FC ila kwa miaka Saba sasa wanapambana Kuwa Mabingwa ila bado hawajafanikiwa. Lakini sijawahi ama Kuona au Kusikia mahala popote pale Azam wakizihonga Timu mbalimbali za Ligi Kuu ya Tanzania ili ziiachie na iwe Bingwa japo ina uwezo wa Kifedha maradufu ya hawa Matapeli wa GSM ila wameamua Kupambana kwa Kucheza tu Uwanjani.

Kama GSM kweli walikuwa na nia ya Kuvidhamini Vilabu vya Ligi Kuu ya Tanzania NBC PREMIER LEAGUE walikuwa wapi Kujitokeza pale TFF na Bodi ya Ligi walipokuwa wanatafuta Wadhamini?

Hivi leo hii Mo Dewji na Kampuni yake / Kampuni zake angeamua nae Kufanya Uhuni na Upumbavu huu usio wa Haki unaofanywa na GSM kwa Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu tena Kisirisiri / Kimya Kimya na kuwaambia wawe wanaikamia tu Yanga SC ila zikiwa zinacheza na Simba SC wawe wanailegezea FAIR COMPETITION ingekuwepo?

Sasa kama unatamba kuwa na Kikosi kizuri na unasema msimu huu Kombe ni lako kwa Soka Kubwa unalocheza kwanini unahangaika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kisha unavipa Ahadi ya Tsh Milioni 15 vikiishinda Simba SC na Tsh Milioni 10 vikitoka nayo Sare mpaka unasababisha Wachezaji wa hizo Timu Kuikamia Simba SC, Kuwaumiza kwa Makusudi Wachezaji wake na pale Wakifungwa baada ya Filimbi ya mwisho badala ya kuondoka Uwanjani wanaanza Kuangua Vilio, Kugombana na Kulaumiana mno?

GSM wameshaiharibu Ligi Kuu ya NBC.
Kimeumana
 
Mbumbumbu katika ubora wako. Kuna tofaut kati ya umiliki na udhamini. FIFA inakataza kumiliki vilabu viwili katika ligi moja sio udhamin
0BF6E433-A3D4-4A7E-AF7C-BF1F4630A215.jpeg
 
Figisu zipi? Kama Yanga inahusika kwa kuwapa timu pinzani ili wawaachie basi hapo ndio itakuwa ni kosa na ile nadharia ya Yanga kuwa na kikosi imara itakuwa haipo. Ila kama Yanga inawapa motisha timu pinzani ili washinde au kutoa sare. Hapo ndio Simba itumie ubora wao kuonesha uwezo wao, kwahiyo nyie mmezoea kucheza kwa kuachiwa na vitimu vidogo vidogo?
Tunachosikitika ni kukamiwa kwa kufanyiwa rafu nyingi sana.
Ona rafu aliyofanyiwa Kapombe na Kibu Dennis.
Kila mechi lazima Wachezaji wa Simba waumizwe vibaya.
Kama kukamiwa kwa soka la fair play haina shida kabisa.
Mechi tano tayari kuna majeruhi ya hatari sita.
 
Simba SC wakijipanga vyema kwa Hoja na Ushahidi na kwenda Kushtaki FIFA nakuhakikishia Ndugu Ligi Kuu ya Tanzania NBC inaenda kuingia matatizoni na kuna Balaa Kubwa litatokea katika Soka la Tanzania.

GSM wasidhani Watanzania wote ni Wapumbavu kama walivyowazoea wa Klabu yao ambao wamezoea Kuwahadaa na Kuwadanganya Kutwa huku wakiwadhulumu katika Pesa za Uuzaji wa Jezi zao.
Unawivu wa kike ndugu, punguza wivu upate afya
 
Hili bandiko io la Kindezi sana baada kushindwa mpira sasa mnatafuta pa kutokea

GSM Inaithamini kupigwa product yake hii ni biashara, kama sport pesa, Emirates na kadhalika.

Bakharesa anamiliki timu hapo hapo anadhamini ligi kwa ujumla wake hilo hujaliona, acheni wivu usio na mashiko

Hata simba mkitaka GSM inaweza kuwadhini Simba

Mini nafikiri angalieni mahali timu yenu inapokosea kuliko kupoteza muda kuisakama Yanga.
 
GSM sasa tena kwa kufanya Kimya Kimya / kwa Siri wameamua Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu yaani NBC PREMIER LEAGUE ili zikiwa zinacheza na Yanga SC yao ipate Unafuu wa Ushindi ila Vilabu hivyo vikiwa vinacheza na Wapinzani wao wakubwa Simba SC viwe vinaikazia kwa ama Kuifunga au hata tu kutoka nayo Sare.
Ama kweli Aden Rage hakukosea aliposema mashabiki wa Makolo ni Mbumbumbu:-
Mbumbumbu.png

GSM hawajaanza kudhamini hivyo vilabu leo, sasa hiyo fair competition imeanza sasa?

Halafu eti wamefanya udhamini kwa siri...

Ingekuwa siri, media zingeripoti?!

Kusoma hujui, ina maana hatapicha za logo za GSM huzioni kwenye jezi?!

Unadhamini vipi kwa siri halafu hapo hapo unaweka logo yakoopenly ?

Btw, hivi unatakiwa kukumbushwa kwamba pamoja na udhamini huo wa GSM, bado Yanga msimu uliopita walipigwa na Coastal, tena kwenye mechi muhimu kweli kweli?!

Au wewe ni mfuatiliaji wa soka la Instagram?
Kinachonisikitisha zaidi Uhuni na Upumbavu huu usio na Haki katika Ushindani Michezoni unafanywa na GSM halafu Serikali kupitia Wizara ya Michezo imekaa Kimya, TFF na Bodi ya Ligi wamekaa Kimya na Wahusika Wakuu wa Kupambana na Kuzuia Rushwa na Dalili zake zote TAKUKURU wamekaa Kimya.
Hao walioko serikalini sio mbumbumbu kama mashabiki wa Makolo!
Akitokea tu Mtu Mmoja au Klabu Moja ikajipanga vyema kwa Sheria na Ushahidi wa Kutosha juu ya Uhuni na Upumbavu huu wa GSM katika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kwa nia ya kupata Unafuu ikicheza nazo na akaenda Kushtaki FIFA kuna uwezekano mkubwa NBC Premier League ikaingia matatizoni, Klabu Moja kubwa Kufungiwa, huyu Mdhamini wao Mkuu GSM Kushtakiwa na hata Mpira wa Tanzania Kuharibika rasmi.
Povu na matusi yote ya nini, Kolo?!

Azam Media wana Content Contract na Yanga...

Azam FC na Azam Media ni baba mmoja, mama mmoja...

Nini Kolo kinakufanya uone GSM kudhamini Yanga na Coastal ni Upumbavu unaofumbiwa macho lakini unaona sawa kwa Azam kufanya kitu kile kile?! Au kwa sababu na Makolo mnanufaika na Azam?

Hakuna Mfanyabiashara Mstaarabu na Muungwana Tanzania hii kama Mzee Bakhressa na Kampuni yake ya Azam. Na hakuna pia Kampuni ambayo ni Tajiri Tanzania nzima kama ya Azam.

Azam Wana Timu yao ya Azam FC ila kwa miaka Saba sasa wanapambana Kuwa Mabingwa ila bado hawajafanikiwa. Lakini sijawahi ama Kuona au Kusikia mahala popote pale Azam wakizihonga Timu mbalimbali za Ligi Kuu ya Tanzania ili ziiachie na iwe Bingwa japo ina uwezo wa Kifedha maradufu ya hawa Matapeli wa GSM ila wameamua Kupambana kwa Kucheza tu Uwanjani.
Kweli we Kolo...

Kwahiyo Azam Media iliyoingia mkataba wa content na Yanga, hapo Yanga wamehongwa?!
Kama GSM kweli walikuwa na nia ya Kuvidhamini Vilabu vya Ligi Kuu ya Tanzania NBC PREMIER LEAGUE walikuwa wapi Kujitokeza pale TFF na Bodi ya Ligi walipokuwa wanatafuta Wadhamini?
Umeanza lini kufuatilia soka kiasi kwamba unashindwa kutofautisha kati ya mdhamini wa ligi na mdhamini wa vilabu?
Hivi leo hii Mo Dewji na Kampuni yake / Kampuni zake angeamua nae Kufanya Uhuni na Upumbavu huu usio wa Haki unaofanywa na GSM kwa Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu tena Kisirisiri / Kimya Kimya na kuwaambia wawe wanaikamia tu Yanga SC ila zikiwa zinacheza na Simba SC wawe wanailegezea FAIR COMPETITION ingekuwepo?
Ndo tatizo la kuwa na Think Tank Shaffii Dauda
Sasa kama unatamba kuwa na Kikosi kizuri na unasema msimu huu Kombe ni lako kwa Soka Kubwa unalocheza kwanini unahangaika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kisha unavipa Ahadi ya Tsh Milioni 15 vikiishinda Simba SC na Tsh Milioni 10 vikitoka nayo Sare mpaka unasababisha Wachezaji wa hizo Timu Kuikamia Simba SC, Kuwaumiza kwa Makusudi Wachezaji wake na pale Wakifungwa baada ya Filimbi ya mwisho badala ya kuondoka Uwanjani wanaanza Kuangua Vilio, Kugombana na Kulaumiana mno?
Hapa ndo umethibitisha ile kauli ya Aden Rage...

Dhambi ni kuhonga wachezaji au kuhonga waamuzi ili wahujumu mchezo lakini hakuna dhambi yoyote kuwapa motisha wachezaji...

Btw, mechi mbili mlipata goli dakika ya 99 kwa sababu wachezaji wa timu pinzani waliahidiwa pesa na GSM; vipi kuhusu zile 3 mlizotandikwa pale Mkapa na timu ambayo nchini kwao ligi imemesimama kwa zaidi ya miezi 18?

Hivi kule Morocco ambako mliweka kambi, mkafikia kucheza hadi na timu ya daraja la 3; mlishinda mechi ngapi kule?

Msimu uliopita mlishinda mechi ngapi ambazo Chama hakuwepo uwanjani?

GSM wameshaiharibu Ligi Kuu ya NBC.
Ina maana GSM ndo anawafanya muwe mnashinda kwa mbinde, au?

Ni GSM nde anawafanya mfungaji wenu pekee mnayemtegemea muwe mnamuingiza dakika 30 za mwisho, au?

Au ndo nyie ambae Think Tank wenu ni Shaffi Dauda?!

Nimekuwekea hapo YouTube link inayoonesha GSM amekuwa akividhamini hivyo vilabu tangu msimu uliopita, lakini kwavile watu wenyewe nyinyi ni "hoya hoyaa" ndo mnazadhani huo udhamini umeanza mwaka huu, huku bila aibu ukisema eti kawadhamini kisirisiri!!
 
Simba SC wakijipanga vyema kwa Hoja na Ushahidi na kwenda Kushtaki FIFA nakuhakikishia Ndugu Ligi Kuu ya Tanzania NBC inaenda kuingia matatizoni na kuna Balaa Kubwa litatokea katika Soka la Tanzania.

GSM wasidhani Watanzania wote ni Wapumbavu kama walivyowazoea wa Klabu yao ambao wamezoea Kuwahadaa na Kuwadanganya Kutwa huku wakiwadhulumu katika Pesa za Uuzaji wa Jezi zao.
Kwahiyo hayo Makolo yatajipanga vizuri kupitia hoja zipi?

Kwamba wamekamiwa na timu zinazodhaminiwa na GSM, au?!

Dah... nilikuwa sifahamu kwamba Shabiki wa Makolo ni Janga la Taifa!!
 
GSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja.

GSM kuona Mipango yao bado haijakaa sawa ili Kuibeba Yanga SC yao sasa wameamua kutumia Mbinu ya Kipumbavu ambayo hata kwa Sheria za FIFA na za FAIR COMPETITION si tu hazikubaliki bali hazitakiwi pia.

GSM sasa tena kwa kufanya Kimya Kimya / kwa Siri wameamua Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu yaani NBC PREMIER LEAGUE ili zikiwa zinacheza na Yanga SC yao ipate Unafuu wa Ushindi ila Vilabu hivyo vikiwa vinacheza na Wapinzani wao wakubwa Simba SC viwe vinaikazia kwa ama Kuifunga au hata tu kutoka nayo Sare.

Kinachonisikitisha zaidi Uhuni na Upumbavu huu usio na Haki katika Ushindani Michezoni unafanywa na GSM halafu Serikali kupitia Wizara ya Michezo imekaa Kimya, TFF na Bodi ya Ligi wamekaa Kimya na Wahusika Wakuu wa Kupambana na Kuzuia Rushwa na Dalili zake zote TAKUKURU wamekaa Kimya.

Akitokea tu Mtu Mmoja au Klabu Moja ikajipanga vyema kwa Sheria na Ushahidi wa Kutosha juu ya Uhuni na Upumbavu huu wa GSM katika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kwa nia ya kupata Unafuu ikicheza nazo na akaenda Kushtaki FIFA kuna uwezekano mkubwa NBC Premier League ikaingia matatizoni, Klabu Moja kubwa Kufungiwa, huyu Mdhamini wao Mkuu GSM Kushtakiwa na hata Mpira wa Tanzania Kuharibika rasmi.

Hakuna Mfanyabiashara Mstaarabu na Muungwana Tanzania hii kama Mzee Bakhressa na Kampuni yake ya Azam. Na hakuna pia Kampuni ambayo ni Tajiri Tanzania nzima kama ya Azam.

Azam Wana Timu yao ya Azam FC ila kwa miaka Saba sasa wanapambana Kuwa Mabingwa ila bado hawajafanikiwa. Lakini sijawahi ama Kuona au Kusikia mahala popote pale Azam wakizihonga Timu mbalimbali za Ligi Kuu ya Tanzania ili ziiachie na iwe Bingwa japo ina uwezo wa Kifedha maradufu ya hawa Matapeli wa GSM ila wameamua Kupambana kwa Kucheza tu Uwanjani.

Kama GSM kweli walikuwa na nia ya Kuvidhamini Vilabu vya Ligi Kuu ya Tanzania NBC PREMIER LEAGUE walikuwa wapi Kujitokeza pale TFF na Bodi ya Ligi walipokuwa wanatafuta Wadhamini?

Hivi leo hii Mo Dewji na Kampuni yake / Kampuni zake angeamua nae Kufanya Uhuni na Upumbavu huu usio wa Haki unaofanywa na GSM kwa Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu tena Kisirisiri / Kimya Kimya na kuwaambia wawe wanaikamia tu Yanga SC ila zikiwa zinacheza na Simba SC wawe wanailegezea FAIR COMPETITION ingekuwepo?

Sasa kama unatamba kuwa na Kikosi kizuri na unasema msimu huu Kombe ni lako kwa Soka Kubwa unalocheza kwanini unahangaika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kisha unavipa Ahadi ya Tsh Milioni 15 vikiishinda Simba SC na Tsh Milioni 10 vikitoka nayo Sare mpaka unasababisha Wachezaji wa hizo Timu Kuikamia Simba SC, Kuwaumiza kwa Makusudi Wachezaji wake na pale Wakifungwa baada ya Filimbi ya mwisho badala ya kuondoka Uwanjani wanaanza Kuangua Vilio, Kugombana na Kulaumiana mno?

GSM wameshaiharibu Ligi Kuu ya NBC.
Screenshot_20211106-154452_Instagram.jpg
 
Simba hamtaki kukubali kama timu yenu ya msimu huu mbovu.

Kwa hiyo timu hazipaswi kuwakazia mkiwa mnacheza nazo mechi.

Jwaneng galaxy tu wamewakazia kidogo taifa wakawapiga 3 pale pale kwa mkapa. Je na hao walizaminiwa na gsm na kupewa hela ndio maana wakawakazia kwa mkapa?
Kwa mtu anaeujua mpira hawezi kusema SIMBA ni mbovu. Ni kauli za wale mashabiki vitumbua.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom