KERO Serikali, TNMC tusaidieni. Watumishi hospitali ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA tunateseka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Uongozi wa hospital ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA unatulazimisha wafanyakazi kufanya shift mbili, hii ni nje ya utaratibu rwa serikali na hupunguza ufanisi tunapokuwa kazini na huhatarisha Afya kwa wagonjwa.

Malipo duni ya Muda wa ziada na tunavuliwa uongozi na kutishwa kufukuzwa kazi tunaposemea waajiriwa.

Tunaomba Serikali, wizara ya afya na TNMC mtusaidie katika hili.
 
Kuweni flexible jamani maisha ni kazi, zingatia 45hours per week
 
TAasisi nyingi zikianza kuoata faida ksubwa uwa wakubwa aana geuka kua wanyonyaji
 
Uongozi wa hospital ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA unatulazimisha wafanyakazi kufanya shift mbili, hii ni nje ya utaratibu rwa serikali na hupunguza ufanisi tunapokuwa kazini na huhatarisha Afya kwa wagonjwa.

Malipo duni ya Muda wa ziada na tunavuliwa uongozi na kutishwa kufukuzwa kazi tunaposemea waajiriwa.

Tunaomba Serikali, wizara ya afya na TNMC mtusaidie katika hili.
Hospitali kubwa nyingi kwasasa shift ni 2. Malalamiko ya nini?
 
Back
Top Bottom