Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

Saa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,

Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
Kwa hiyo mbingu Zina funguka usiku wa manane Tu
 
Lol....ili barakashia ipite, kweli mwarabu kaharibu akili za watu.
Watu wanawaza kula Tu Birian siku ya ijumaa, na pila siku ya idd.
Sasa kibarakashia sikuna tengenezwa kulinga na kichwa cha MTU kwani ni lazima kibarakashia kiwe kidogo kama ganda la chungwa?
 
Ndio najua Leo kwamba kumbe kuwa na kichogo ni tatizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dunia Ina vituko sana
 
Oky swali zuri sana...
Usiku unakua tulivu . Mchana kuna mambo mengi ambayo yanaweza kufanya wewe usiwe concentrated na kile unachotaka
Mbingu zinatakiwa zifunguke na mchana, hasa siku za weekend coz Muda mwingi huwa hatuna Kazi za kufanya,
 
Sasa unataraji kibaraghashia kitakaaje. Allah kwanza, yaani mtoto wangu ashindwe kuvaa baraghashia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…