Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mbingu Zina funguka usiku wa manane TuSaa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,
Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
Ndio mkuuKwa hiyo mbingu Zina funguka usiku wa manane Tu
Lol....ili barakashia ipite, kweli mwarabu kaharibu akili za watu.Hahaa, yakhe wataka watoto wetu wafanane na machogo wa huko Bara?
Unaminya kichogo ili barakashia ikae viziri, sio mtoto anakuwa na chogo kama pasi ya mkaa,
Oky swali zuri sana...Kwa nini Zina funguka usike mnene watu wakiwa wamelala ?, zisifunguke mchana watu wakiwa wanajipatia ridhiki
Kumbe kisogo nacho ni haki?Wenyeji wa huko visiwani ,heshimuni haki za watoto.
Watu wanawaza kula Tu Birian siku ya ijumaa, na pila siku ya idd.Lol....ili barakashia ipite, kweli mwarabu kaharibu akili za watu.
Ndio najua Leo kwamba kumbe kuwa na kichogo ni tatizo 😂😂😂😂Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho.
Serikali kupitia wizara ya AFYA, toeni elimu ya kutosha, hasa visiwani Zanzibar (Pemba, Unguja).
Hospitali ya Muhimbili kitengo cha watoto na kitengo cha ubongo, inawapasa kutoa elimu ya AFYA ya Mtoto hasa huko visiwani Zanzibar.
Wizara ya ustawi ya jamii jinsi na watoto, elimisheni jamii, kwamba Mtoto kuwa na kichogo sio ukilema. Bali ni maumbile ya kawaida Kwa ukuaji wa mtoto pamoja na afya yake.
Maana wana wanyanyasa watoto vichanga, haya yote ni matokeo ya ukosefu wa elimu na Imani potofu huko visiwani Zanzibar.
Mtoto kuwa na kichogo Sio Kwamba atakuwa na muonekano mbaya AU Kwamba atachekwa na wenziwe shuleni, lahasha Bali, ni maumbile halisi ya kibinaadamu.
Wenyeji wa huko visiwani, heshimuni haki za watoto.
Mbingu zinatakiwa zifunguke na mchana, hasa siku za weekend coz Muda mwingi huwa hatuna Kazi za kufanya,Oky swali zuri sana...
Usiku unakua tulivu . Mchana kuna mambo mengi ambayo yanaweza kufanya wewe usiwe concentrated na kile unachotaka
Mkuu unampangia Mungu sasa sio...?Mbingu zinatakiwa zifunguke na mchana, hasa siku za weekend coz Muda mwingi huwa hatuna Kazi za kufanya,
Ndio hivyo mkuu, Yaani kwaLol....ili barakashia ipite, kweli mwarabu kaharibu akili za watu.
Lol....ili barakashia ipite, kweli mwarabu kaharibu akili za watu.
Sasa unataraji kibaraghashia kitakaaje. Allah kwanza, yaani mtoto wangu ashindwe kuvaa baraghashiaKitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho.