Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia huwa wanatuita sisi watu wa Bara machogo. Je, hawajui kuwa humo ndio kwenye ubongo wa ziada unaotufanya sisi wabara tuwe smart zaidi yao!Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho.
Serikali kupitia wizara ya AFYA, toeni elimu ya kutosha, hasa visiwani Zanzibar (Pemba, Unguja).
Hospitali ya Muhimbili kitengo cha watoto na kitengo cha ubongo, inawapasa kutoa elimu ya AFYA ya Mtoto hasa huko visiwani Zanzibar.
Wizara ya ustawi ya jamii jinsi na watoto, elimisheni jamii, kwamba Mtoto kuwa na kichogo sio ukilema. Bali ni maumbile ya kawaida Kwa ukuaji wa mtoto pamoja na afya yake.
Maana wana wanyanyasa watoto vichanga, haya yote ni matokeo ya ukosefu wa elimu na Imani potofu huko visiwani Zanzibar.
Mtoto kuwa na kichogo Sio Kwamba atakuwa na muonekano mbaya AU Kwamba atachekwa na wenziwe shuleni, lahasha Bali, ni maumbile halisi ya kibinaadamu.
Wenyeji wa huko visiwani, heshimuni haki za watoto.
Au uwongo we sio mwenzetu wakichoggoHahahaha
Anayo huyo mkuu 😂😂Na wewe una chogo ?
Kwa hiyo ni kwa watoto wa kiume tu?Hahaa, yakhe wataka watoto wetu wafanane na machogo wa huko Bara?
Unaminya kichogo ili barakashia ikae viziri, sio mtoto anakuwa na chogo kama pasi ya mkaa,
Kwanini nivae juba? Kwanza hata kulijuwa hilo juba silijuwi.Sasa wewe si unavaa juba , haina shida ukiwa na chogo
You must be joking.Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho.