Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

Selikali pumbavu ya ccm haiwezi kuelewa maana tujiulize tu hao walimu watakao kuwa kwenye hayo.mashule wenye kufundisha dini je awatalazimisha mambo yao ya kidini kuanzia uvaaji itikadi na utabaka mfano mwanafunzi wa kiislama akifanyiwa kitu awezi kwenda kwa mwalimu wa dini yake kuki lalamikia kidini na kuleta tatizo ...mwisho wa siku mambo kama ya zanzibar yataingia mashuleni kuwalazimisha watu wengine wasionekane wanakula chakula kisa mfungo wa ramadhani
 
Wacha watoto wasome wanacho taka Dunia imebadirika,watafanya kazi katika bank zao(Islamic banking) [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🪑[emoji575][emoji445][emoji445][emoji7]
Kusoma unachotaka siyo kosa tatizo wanasomea wapi ...dini ifundishwe sehemu usika mambo ya mwezi kuandama lini na kufungua lini baina ya madhehebu yataleta tatizo
 
Mbona Masomo ya dini yapo kitambo na hata kidato cha nne Taifa wanafanya mtihani. Basi Hilo somo la Dini lifutwe kabisa lisiwepo huko mashuleni.
 
Upo sahihi. Wanamlazimisha mwanafunzi kuamini mambo mawili kwa wakati mmoja. Waamini katika siasa na waamini katika sayansi.

Kwa namna tulivyo wapumbavu, ni lazima tutaipuuza tu elimu dunia!! Tatizo ni kwa hawa wenzetu wakipewa kutawala kila kitu kwao ni Ruksa ili mradi mkono uende kinywani.

Siku tutashituka tukijua haya yote ni kutekeleza masharti ya Waarabu tuliowauzia vipande vya nchi
 
Sahihi
 
Kijanaa masomo ya dini yana level zake.kama unavyoona masomo ya secular. madrasa ni level ndogo tu na mwanzo ila kuna zaidi ya masomo yanayofundishwa madrasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…