Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

Daah
 
Madhara ni makubwa sana,mojawapo watoto wataamini hakuna haja ya kuwepo sayansi bali u

Masomo yalikuwa kama ziada sio rasmi sasa hivi yamekuwa rasmi shida wengine sijui hata kama form six mlipita......sasa hivi yamewekea na combi ndo tuna pinga hapo
 
Sidhan kama Kuna mtu anakataa kiarabu shida ni divinity na Islamic sema wewe umekurupuka tu uko mwarabu wa buza
 
Wewe ndo mjinga zamani yalikuwa kama ziada yaani sio rasm sasa yana combination zake......
Hapo ndio wamefanya vyema zaidi na kukua kimitaala.
Hatuwezi kurudi nyuma tukaacha dini badala tukaongozwa na kandanda.
Tutakuwa sisi na mashetani na wanayama hatuna tofauti.
 
Huo utaratibu viongozi wa dini zote waliukataa. Muislam wa kweli na Mkristo wa kweli hawawezi kukubali watoto wao wafundishwe dini tofauti na zao. Kingine masomo ya dini ni hiyari nyie povu linawatoka la nini?
Viongozi wengi wa dini hawana elimu dunia, mawazo yao yanatakiwa kuchukuliwa kwa uangalifu mkubwa. Katika Religious studies watu hawafundishwi dini bali wanafundushwa "kuhusu" dini na imani tofauti za dunia, zilizopo sasa na zilizowahi kuwepo huko nyuma.
 
Seriki inapaswa kugharamia huduma zinazotumiwa na watu wote; haiingii akilini kodi walipe wote ( wenye dini na wasio na dini) ila huduma - Elimu - wapewe watoto wa waumini.
 
Kwenye shule za umma kulitakiwa kuwe na Religious studies, wanafunzi wajifunze kuhusu dini zote, sio kusoma kidini kama kanisani au msikitini.
Hapa nakupinga, dini haitakiwi kuingizwa kwenye mfumo wa elimu kabisa, tuwafundishe watoto wetu sayansi Sana kuliko vitu vya kufirika visivyokuwa na ukweli
 
Uko sawa mkuu
Kama tulizitoa lugha zetu mama na kuweka kiswahili
Watowe dini waweke somo la uzalendo
 
Kuna watu wanafani ya dini , yaani somo la dini ndo anafanya vizuri, kuna ubaya gani mtu kubobea kwenye dini yake!!
 
Hebu ainisha hilo kosa kisheria lipo wapi?
Serikali aina dini ...na sisi tunashanga kwanini mnataka dini mashuleni wakati mnaweza kufundisha kwenye mashule yenu binafsi...wauslamu wengi kwa sababu ya upumbavu wameshindwa kugundua njama za serikali dhalimu ya ccm na bakwata kuhusu ili jambo nitakuja kuwafumbua macho kilichopo nyuma ya ili jambo wala hakifanyiki kwa maslai ya waislamu bali bakwata na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…