Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Imeletwa na AkiliKaileta nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeletwa na AkiliKaileta nani?
Ndiyo maana tumeanza kushuhudia magaidi na mitume feki ya kikristo kwa sababu ya huu upumbavu ushabiki wakidini hadi mashuleni ..miaka ya nyuma huu upuuzi ulikuwa ni ngumu sana kufanyikaMasomo ya dini yanafundishwa Kwa muda mrefu hapa Tanzania kwenye shule za serikali na binafsi.Kwenye shule za serikali mwanafunzi huamua kusoma Kwa hiyari yake mwenyewe. Sijapata kusikia shida yoyote iliyosababishwa na hili.Tahasusi mpya ambazo zimeanzishwa na zinajumuisha masomo ya dini siyo lazima Kila mwanafunzi azisome.Ninavyoona Mimi wanaopinga wanahoja/hofu ambayo hawaiweki wazi.Mtoto wako asome tahasusi ambayo unaiona ni nzuri kati ya nyingi zilizopendekezwa.
Kwani kwenye vyombo vyao vya dini hskuna shuleKuna watu wanafani ya dini , yaani somo la dini ndo anafanya vizuri, kuna ubaya gani mtu kubobea kwenye dini yake!!
Kwani sunday schools na Madrasa hazipo hadi kutumia fedha za walipa kodi kufundisha kitu kisicho na manufaa yoyote kwa nchi.Watoto wakifundishwa dini zao mnapungukiwa nini?
Wew ulisomea ujinga hahahahSawa nimeandika maoni yangu kama msomi nisiyependa taifa letu liweke mambo imani ya ukristo au uislam kwenye mambo ya kiserikali ni hatari mno ... naamini watu wenye nia njema wameona hili ila hawana la kufanya....
Bado Sijapata mantiki ya hoja ya kupinga tahasusi mpya.Ina maana mwanafunzi anaposoma Somo la dini na masomo mengine mawili tena Kwa hiyari yake ni madhara gani hutokea?.Mbona wanapoenda vyuo vikuu zipo shahada zinazohusu dini.Nilidhani labda watakosa maarifa ya awali wanapoanza shahada zao lakini hujagusia hilo.Masomo yalikuwa kama ziada sio rasmi sasa hivi yamekuwa rasmi shida wengine sijui hata kama form six mlipita......sasa hivi yamewekea na combi ndo tuna pinga hapo
Hii ni philosophy nafkir ipo kwen general studies.Viongozi wengi wa dini hawana elimu dunia, mawazo yao yanatakiwa kuchukuliwa kwa uangalifu mkubwa. Katika Religious studies watu hawafundishwi dini bali wanafundushwa "kuhusu" dini na imani tofauti za dunia, zilizopo sasa na zilizowahi kuwepo huko nyuma.
Hivi serikali inafundisha dini ili iwaje?Nimeona wameongeza combi nyingi sana kwenye kwenye elimu ya advance jambo zuri ila lina ubaya wake pia
Niende kwenye mada nchi yetu sio ya kidini yaani haifungamani na dini yeyote ile sasa serikali kwanini imeweke masomo ya dini ya kiislam na kikristo kwenye mtaahala ni kurudisha nyuma taifa letu na kuleta mkanganyiko hizo elimu zitolewee miskitini na makanisani full stop visiweke kwenye mifumo rasimi ya kiserikali
Naandika haya najua madhara ya serikali kuanza kuweka vitu vya kidini kwenye mifumo rasmi ya serikali
Sasa mfano wakristo wana madhebu mengi mno walokole waroman wapentecoste ...haya waislam kuna shia kuna suni ....mtaafundishaje maana haya madhehebu huwa yanatofautiana kwenye mambo mbali mbali kama sio kuleta fujo na mikanganyiko
Hao walimu watalipwa na nani yaani serikali ilipe walimu wa dini kama kweli ndo tumefikia huku tena katika elimu ya advance watoto narudia wasome hizo elimu huko makanisani au misikitini na madrassa ....
Naamini raisi ajae ataliangalia hili labda huyu wa sasa kaona sawa.....tunaomba rais atakae kuja atoe haya madude sijui divinity/ukristo sijui islamic knowledge hayana umuhimu wa taifa ambalo liko nyuma kisayansi na kiteknlogy mnazidi kulipoteza taifa kuleta mambo imani kwenye ulimwengu wa elimu serious zinahitaji fact sio imani .... fact ni muhimu kuliko imani ndo maana wazungu wanatupita maana wanaamini katika fact sio imani......sasa sisi imani ndo tunataka kabisa iwe elimu rasmi ni uzwazwa...
TANZANIA SIO NCHI YA KIDINI NA HAIRUSIWA HATA KUONESHA DALILI HIZO NI HATARI MNO KUWEKA MASWALA YA DINI SERIKALI
Eti necta nao wako busy watunge mitihani sijui yesu alifanya nini mara sijui mtume alifanya nini ...
Tuiheshimu tanzania hasa tanganyika mambo ya dini hatutaki toeni....kama upande wa pili znz watapenda muwakeeni ila tanganyika haiwezi jengwa kamwe na mifumo hii mnayoleta TANGANYIKA TUNATAKA WATOTO WAWE BUSY NA ELIMU DUNIA ZAIDI.....
SIJUI MAKAMBA SIJUI MAKONDA SIJUI RIDHIWAN AU YEYOTE ATAYEKUJA KUWA RAIS BAADa ya mama samia atoe haya madini kwenye elimu rasmi hayana tija kwa taifa ... taifa linahitaji sana kuendelea upande wa elimu dunia...... sio elimu ahera
Kodi zikikusanywa huwa zina alama hii imetoka kwa mwabudu mawe, hii kwa muislamu, hii kwa mkristo..kodi ninayotoa mimi mkristo sitaki itumike kulipa mshahara wa mwalimu anayefundisha dini nyingine..lakin pia, kwa vile ni utashi wa mwanafunzi kuchagua combi inaweza tokea wanafunzi wa dini moja wanaosoma dini yao ni wachache halafu wanaosoma dini nyingine ni wengi matokeo ni km watu wa dini yenye wanafunzi wachache wanagharimia masomo ya dini isiyo yao ambayo ina wanafunzi wengi!hakuna kutumika kodi za raia kwenye dini.kwani hao watoto wanaosoma hayo masomo ya dini si ndo wazazi wao wanalipa hizo kodi?
Hoja ya muda. Nakataa sababu hata elimu ya dini nayo ni elimu inayotakiwa ipewe muda tena wa kutosha.kusoma dini sio kupoteza muda.
Ni kweli wale wanaoufuata Uislam wanaamua kuukataa UkafiriWatu wote huzaliwa makafiri
Zibaki hapo hapo,Nimeona wameongeza combi nyingi sana kwenye kwenye elimu ya advance jambo zuri ila lina ubaya wake pia
Niende kwenye mada nchi yetu sio ya kidini yaani haifungamani na dini yeyote ile sasa serikali kwanini imeweke masomo ya dini ya kiislam na kikristo kwenye mtaahala ni kurudisha nyuma taifa letu na kuleta mkanganyiko hizo elimu zitolewee miskitini na makanisani full stop visiweke kwenye mifumo rasimi ya kiserikali
Naandika haya najua madhara ya serikali kuanza kuweka vitu vya kidini kwenye mifumo rasmi ya serikali
Sasa mfano wakristo wana madhebu mengi mno walokole waroman wapentecoste ...haya waislam kuna shia kuna suni ....mtaafundishaje maana haya madhehebu huwa yanatofautiana kwenye mambo mbali mbali kama sio kuleta fujo na mikanganyiko
Hao walimu watalipwa na nani yaani serikali ilipe walimu wa dini kama kweli ndo tumefikia huku tena katika elimu ya advance watoto narudia wasome hizo elimu huko makanisani au misikitini na madrassa ....
Naamini raisi ajae ataliangalia hili labda huyu wa sasa kaona sawa.....tunaomba rais atakae kuja atoe haya madude sijui divinity/ukristo sijui islamic knowledge hayana umuhimu wa taifa ambalo liko nyuma kisayansi na kiteknlogy mnazidi kulipoteza taifa kuleta mambo imani kwenye ulimwengu wa elimu serious zinahitaji fact sio imani .... fact ni muhimu kuliko imani ndo maana wazungu wanatupita maana wanaamini katika fact sio imani......sasa sisi imani ndo tunataka kabisa iwe elimu rasmi ni uzwazwa...
TANZANIA SIO NCHI YA KIDINI NA HAIRUSIWA HATA KUONESHA DALILI HIZO NI HATARI MNO KUWEKA MASWALA YA DINI SERIKALI
Eti necta nao wako busy watunge mitihani sijui yesu alifanya nini mara sijui mtume alifanya nini ...
Tuiheshimu tanzania hasa tanganyika mambo ya dini hatutaki toeni....kama upande wa pili znz watapenda muwakeeni ila tanganyika haiwezi jengwa kamwe na mifumo hii mnayoleta TANGANYIKA TUNATAKA WATOTO WAWE BUSY NA ELIMU DUNIA ZAIDI.....
SIJUI MAKAMBA SIJUI MAKONDA SIJUI RIDHIWAN AU YEYOTE ATAYEKUJA KUWA RAIS BAADa ya mama samia atoe haya madini kwenye elimu rasmi hayana tija kwa taifa ... taifa linahitaji sana kuendelea upande wa elimu dunia...... sio elimu ahera
Kuna kombinesheni hizoo hatarii
Mfundishiwe katika makanisa na misikiti yenuZibaki hapo hapo,
Mungu ana umuhimu ktk maisha yetu,
Wazazi hawana muda wa kukaa na watoto, huko mashuleni nahisi ni muhimu wakafundishwa.