Serikali: Toeni tamko Land Rover Festival liwe tukio rasmi la kufanywa kila mwaka kama tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Kanda ya Kaskazini


Ili wapromote land rover? Why not Toyota mkonga zilizojaa mbugani? Una uhakika land rover ni nyingi kuliko mkonga? Why so special? Muwe mnajiongeza hata kama elimu yenu ni ya kukariri. Ukiona maK anapigia debe sana kitu ujue kuna makubwa nyuma ya pazia!
 
Kila mzungu unayemuona hapa tanzania unazani ni mtalii kwa akili hizi tunasafari ndefu sana

Wazungu wengine wanakuja hapa Tanzania ni ma-expert na hawana mda wa kutalii wengine ni volunteer
Kwa hiyo wazungu wote walioshiriki jana umezungumza nao na wamekujibu kuwa wao ni experts? Hongera sana
 
Kwa nini tuna siku ya kuadhimisha kifo cha Nyerere na hatuna siku ya kuadhimiaha kifo cha Babu yako?
 
Makonda baada ya kununu landrover kaamua kuanzisha festival ya landrover
 
Kwa nini tuna siku ya kuadhimisha kifo cha Nyerere na hatuna siku ya kuadhimiaha kifo cha Babu yako?

Out of context ndo maana mnafeli! Unajuaje kwamba Nyerere sio babu yangu? Unanifahamu? Muwe mnajiongeza kijana
 
Kwa hiyo wazungu wote walioshiriki jana umezungumza nao na wamekujibu kuwa wao ni experts? Hongera sana
Kama kila mzungu unamuona ni mtalii basi hilo ni tatizo lako lingine
Ungekua umeushi moshi au arusha ungenielewa sababu kule wazungu wako wengi na sio wote ni watalii
 
Ana promote utalii au anatangaza biashara ya land rover ya wazungu why not Nyumbu Festival.
 
Ana promote utalii au anatangaza biashara ya land rover ya wazungu why not Nyumbu Festival.
Kuna mtalii atatoka Urusi kuja kushiriki nyumbu festival?

Gari Burundi tu hamuiuzi ndo mtu aje kutoka taifa la mbali kiasi hicho aje kushiriki?
 
Mambo ya kina Pdidy
 
Hili tukio la jana lilifurahiwa sana na watengenezaji wa magari haya maana walipewa free promotion bila hata kulipia Tangazo. Angalizo tu ni kwamba watengenezaji wa magari wengine wasije kulalamika kwamba serikali ina upendeleo wa wazi kwa gari za aina hii za Land rovers na ni anti competition. ni Angalizo tu... Mkuu wa mkoa aweke wazi kwamba hii Land rover festival haina uhusiano wa moja kwa moja na serikali, vinginevyo huko mbeleni ni mziki mtamu sana.
 
Imesemwa kwa nini Land Rover.

Ndo gari ya kwanza kupeleka watalii mbugani miaka ya zamani biashara ilipoanza.

Hakuna shida ikitumika kwa maslahi ya uchumi wa Nchi
Ingekuwa kosa kama Serikali ingetoa Tangazo kwa wananchi kuwakataza kutotumia gari yeyote zaidi ya Land Rover.
 
Pamoja na kuwa member ya siku nyingi humu unaonekana bado sio mzoefu wa hili jukwaa kama leo unaniita mimi makonda

My brother inaonekana una shida ya ufahamu hujaona neno "huenda" nani anakujua kwa majina feki ya jf? Sikujui wala hunijui so cool down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…