Serikali: Toeni tamko Land Rover Festival liwe tukio rasmi la kufanywa kila mwaka kama tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Kanda ya Kaskazini


Nakubaliana na wewe na wazo zima la kupromote utalii but isiwe kwa Land rover pekee iwe ni tukio au festival yenye mapana zaidi ya kupromote brand au biashara ya kampuni moja! Kwa vyovyote hii inaleta tafsiri kwamba huenda kuna deal chafu ndani yake! Utafiti zaidi unahitajika kuboresha so sijapinga
 
Dubai wameboresha miundombinu ni pazuri panuvutia, kuna artificial island panakitu unique kinachomshawishi mtalii aende

Sasa wewe unafikiri mzungu aje kushangaa msafara wa landrover arusha kwan uko kwao hazipo
Kwani hizo barabara nzuri hazipo kwa hao Wazungu? Hadi wanaenda Dubai?

Ungetakiwa kujiuliza kwanza wewe hayo maswali unayoniuliza ndo ungepata mantiki ya hoja yangu.

Tatizo ninaloliona kwako ni kuwa na shida na makonda. Hata mimi nina shida nae ila kwenye hili sijamuangalia Makonda nimeangalia idea na kupendekeza ifanywe kimkakati zaidi katik kutunisha mapato ya nchi.
 
Uelewa wako ni mdogo sana
Endelea kuamini landrover festival ambayo unawapromote free of charge kama italeta watalii
 
Mwenye akili pana endelea kuwapigia debe wazungu wenye gari lao for free sijui hata wanakujua kwanza wanakuchekeni.
Kama una shida na Wazungu acha kutumia dawa zinazotengenezwa kwao, acha kutumia simu zinazotengenezwa kwao, acha kutumia laptop zinaotengenezwa kwao. Ukienda hospital usiwekewe drip zinazotengenezwa kwao.
Uelewa wako ni mdogo sana
Endelea kuamini landrover festival ambayo unawapromote free of charge kama italeta watalii
 
Na hiyo ni promotion ya wiki chache tu. Je likiwa Tamasha lenye maandalizi ya muda mrefu unadhani mwitikio wake utakuwaje?
Usiwe unapenda shortcut
Unavyotumia landrover kupromote utalii serekali inapata nini kwa kutumia hiyo brand ya wahindi tena bure kwanini isiwe serengeti festival ambayo ni jina letu
 
Kama una shida na Wazungu acha kutumia dawa zinazotengenezwa kwao, acha kutumia simu zinazotengenezwa kwao, acha kutumia laptop zinaotengenezwa kwao. Ukienda hospital usiwekewe drip zinazotengenezwa kwao.
Huna inachoelewa kwenye biashara zaidi ya mihemko, tunazungumzia free promotion sio matumizi ya vitu vya wazungu.
 
Kuna watu wanasema ni ubunifu wa Makonda. Hawa wanaosema hivyo niwaite "wajinga" kwa maana hawajui. Kama umewahi kukaa Kaskazini, Landrover ni gari inayotumika sana kwa shughuli mbalimbali kubwa kwa hili ikiwa ni kusafirisha watalii. Hivyo, kuchukua zile landrover na kuziweka pamoja zikafika 300, ukasema ni special festival ni UJINGA. Arusha inahitaji ubunifu wa Kisayansi na siyo propaganda. After all, hapo nyuma kidog kama sijakosea mwaka jana kulikuwa na tukio kama hilo kwa kutumia magari ya kizamani zikiwemo volkswagen, cortina, landrover 109 nk. Kipindi hicho Makonda hakuwepo and there was no recorded additional income kwenye sekta ya utalii.
Nchi yetu imekuwa na viongozi wa ajabu kuwahi kutokea!!!. Ujue ni kweli, TBC imerusha hilo tukio muda mfupi kama dk 2, naona wameswitch off na kujoin Dar kwenye Maonye ya Swahili International Expo. Aidha wamedharau wakaona ni ujinga fulani hivi.
 
Usiwe unapenda shortcut
Unavyotumia landrover kupromote utalii serekali inapata nini kwa kutumia hiyo brand wa wahindi tena bure kwanini isiwe serengeti festival ambayo ni jina letu
Wewe shida jina au mapato yanayopatikana na faida zinazopatikana kwenye hicho kitu?

Kama Festival itaqezesha watu kutoka mataifa ya nje kuja na Forex zao wakatumia hapa nchini na tukaongeza kibubu chetu shida iko wapi?

Kama Festival hii ikiwafanya watu kuja na wakavifahamu vivutio vyetu na wakavitembelea zaidi shida iko wapi?

Unadhani kwa nini mchina anatengeneza Adidas feki? Au Nike feki?

Duniani hapa ni akili kumkichwa. Unaweza kitumia kitu kwa manufaa yako na ukafaidika kuliko hata mwenye hicho kitu.

Ndo mana nakwambia shida yako ni exposure tu! Na inawezekana upeo nao ukawa shida.
 
Huna inachoelewa kwenye biashara zaidi ya mihemko, tunazungumzia free promotion sio matumizi ya vitu vya wazungu.
Tatizo lako ni wazungu. Ndo mana nimekwambia acha kutumia vitu vya wazungu kwanza alafu njoo tujadili.
 
We akili huna kwa hiyo serikali itumie brand ya nchi nyingine kuwatangaza bure alafu unaona sawa aisee kama nchi tunasafari ndefu sana

Afrika watu weupe wanapata vitu vingi sana free of charge, rasilimali wanachukua almost free of charge bado tena brand za makampuni yao tunawatangazia free of charge na viongozi wanaofanya hivyo wanaitwa wabunifu
 
Why serikali ndio itoe tamko na sio kampuni ya Land Rover wakili msomi? Tuna ubia huko? Why not Toyota au Nissan? Just curious
Kwa vile the main beneficiary ni nchi yetu kwenye ukuzaji utalii, tamko la serikali ni muhimu kulitambua tamasha hili for continuity, ili liwe endelevu sio Makonda ameasisi tamasha, kesho akihamishwa, tamasha linakufa!,
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…