Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Hapo ndo tatizo lilipo.
Hatuwezi kwenda mbele kama kwenye kila jambo utalichukulia kwa negativity!
Sijatumika kupigia chapuo maslahi ya mtu ila nimelipenda wazo na kutokana na kupata mwitikio mkubwa kutoka kwa jamii nimeona kuwa ni wazo jema ambalo endapo likipata muendelezo mzuri litalisaidia taifa ikiwemo kutusaidia kupata mapato makubwa yatakayohakikisha mtoto wako anapata matibabu bora hospital
Labda umeanza kunifuatulia leo ila ninajulikana msimamo wangu humu. Situmiki na mtu.
Mimi nabeba wazo na kulichukulia kwa mtazamo unaopaswa na sio vinginevyo.
Nakubaliana na wewe na wazo zima la kupromote utalii but isiwe kwa Land rover pekee iwe ni tukio au festival yenye mapana zaidi ya kupromote brand au biashara ya kampuni moja! Kwa vyovyote hii inaleta tafsiri kwamba huenda kuna deal chafu ndani yake! Utafiti zaidi unahitajika kuboresha so sijapinga