Serikali: Toeni tamko Land Rover Festival liwe tukio rasmi la kufanywa kila mwaka kama tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Kanda ya Kaskazini

Serikali: Toeni tamko Land Rover Festival liwe tukio rasmi la kufanywa kila mwaka kama tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Kanda ya Kaskazini

Dubai unaifananisha na arusha
Kwa hiyo kwa akili zako unadhani Dubai ilikuwa vile na ipo vile kwa asili tu au kwa kutokea tu??

Hujui kwa nini Dubai inakuwa kivutio kwa watu wengi duniani? Unadhani ni kwa sababu ya akili zenu za kishamba hizo?
 
Tatizo lenu ni ushamba tu na kukosa exposure!
Mbaya zaidi hamjui dunia inavyoenda. Tokeni vijijini huko tafuteni hata passport muende nje ya Tanzania kwenye mataifa ya wenye akili mjione kuwa mnaishi zama za mawe.
Wewe ndo huna-exposure kama kilimanjaro marathano serikali imeshindwa kuiboresha na hatimaye kuvutia watalii sembuse hio landrover festival

Mtalii anataka kitu cha utofauti ili atembelee nchi yako
 
Kwa nini isiwe Maasai Festival?
Land Rover is well known brand! Tena Worldwide!

Pia kwa mujibu wa maelezo ya wanedesha watalii ndo gari ya kwanza kutumika kuingiza watalii mbugani. So kuna sababu ya msingi kuifanya hivyo.

Hii hata akiisikia mrusi atashawishika kusafiri kuja kushiriki kutoka Urusi.

Utamaduni wa Mmasai unaweza kuweka kama package ya vitu vitakavyokuwa displayed kwenye hilo Tamasha. Ni akili tu
 
Mtalii aje ashangae msafara wa landrover hiki ni kibweka
 
Ni ubunifu wa kijinga kutangaza biashara zisizo zenu. Bora ubunifu ungehusisha gari za Masoud Kipanya au gari la Nyumbu liliotengezwa Tanzania. Au ingekuwa afadhali kama Tanzania tungekuwa na hisa kwenye kiwanda cha landrover.
Kiwanda cha nyumbu tangu kiumbwe kimeshatengeneza magari mangapi?

Unaeza ukakuta labda wameshatengeneza labda magari 20.

Sasa magari 20 uyapeleke Festival? Hiyo itakua Festival ama jogging???
 
Wewe ndo huna-exposure kama kilimanjaro marathano serikali imeshindwa kuiboresha na hatimaye kuvutia watalii sembuse hio landrover festival

Mtalii anataka kitu cha utofauti ili atembelee nchi yako
Tunaweza kuboresha KLM marathon na hili la landrover likatazamwa lisipotelee hewani.
Binadamu anataka sababu ya kustarehe baada ya kazi. Makonda yupo sahihi, mji wa Arusha ulipata ugeni jana kutoka nchi jirani. Imagine iwapo itaendelea hivi kila mwaka. Kwanini watalii wasiwepo?
 
Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa.

Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza kuvitumia ipasavyo na kupata faida ya kweli.

Nimeshawahi kusema mara nyingi humu kuwa shida kubwa tuliyonayo watanzania ni matumizi sahihi ya rasilimali akili ambayo endapo tungeitumia vizuri tungeweza kufika mbali sana na wananchi wetu wakawa na maisha mazuri sana.

Kwa sasa duniani, Utalii ndo bidhaa ya kukupa hela nyingi zaidi kwa urahisi zaidi. Hivyo tukiutumia huu utalii vizuri inawezekana sana tukawa nchi yenye uchumi mkubwa sana.

Kama nilivyosema kwenye uzi wangu wa jana. Ubunifu uliofanywa kuhusu Land Rover Festival ni jambo kubwa sana ambalo pamoja na kutakiwa kupongezwa, ni jambo linalotakiwa kuwekewa mkakati maalum kuanzia sasa na kufanywa kama tukio kubwa zaidi la kuleta watalii wengi zaidi kutoka maeneo mbalimbali Duniani.

Tukio hili tayari limeshawafikia watu wengi katika media za kimataifa hivyo ni vyema kwa Serikali sasa kuliwekea mkakati rasmi ili liwe na muendelezo mzuri na ikiwezekana liwe tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Afrika.

Nategemea sasa Serikali wataweka miguu yote kwenye tukio hili na kilibrand zaidi ambapo kwa mwaka kesho washiriki watapata kuona vitu vingi zaidi vinavyohusiana na Tanzania ikiwemo utamaduni, mziki, vivutio, madini na mambo mbalimbali.

Kazi kwenu Serikali. Tunatarajia sasa tufunguke zaidi na tusiitwe tena a Sleeping giant of East Africa.
Liambatane na wiki ya Utalii,Kili Expo
 
Tunaweza kuboresha KLM marathon na hili la landrover likatazamwa lisipotelee hewani.
Binadamu anataka sababu ya kustarehe baada ya kazi. Makonda yupo sahihi, mji wa Arusha ulipata ugeni jana kutoka nchi jirani. Imagine iwapo itaendelea hivi kila mwaka. Kwanini watalii wasiwepo?
Alichofanya jana makonda kamwe hakiwezi vutia watalii sana sana kinaonyesha ufahari wa watu
 
Bro!!! Kama demu wako alienda peke yake arusha Festival ninakupa Pole.(hata kama alikwambia naenda na friends)

Kwenye Festival kama hivi mademu huwa wanapigwa sana kuni *****!!!
madem wana shenyentwa balaa 😂
 
Bro!!! Kama demu wako alienda peke yake arusha Festival ninakupa Pole.(hata kama alikwambia naenda na friends)

Kwenye Festival kama hivi mademu huwa wanapigwa sana kuni *****!!!
Kwa hio ni Carnival sio Festival tena?
 
Alichofanya jana makonda kamwe hakiwezi vutia watalii sana sana kinaonyesha ufahari wa watu
Tatizo una roho mbaya na chuki dhidi ya aliyepewa/ mwenyenacho.

Muombe Mungu akuondolee huo ushetani then utachambua mambo kwa mlengo chanya.
 
Back
Top Bottom