Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
HahahaaSio amekuwa ni punguani siku zote 😄 😄
HahahaaSio amekuwa ni punguani siku zote 😄 😄
Mh!!Tunajadiliana kuhusu maombolezo ya 29.10.2025
[ATTweka mashada ya maua Machi 3, 2026, kwa ajili ya kuwakumbuka waliopoteza maisha.
Hatua hiyo ni miongoni mwa jitihada zilizofanywa na taasisi za kisiasa na kijamii kuenzi waathirika wa matukio hayo, huku wito wa kutambua madhila yaliyowapata Watanzania ukiendelea kujadiliwa.
Katika waraka wake, Askofu Pisa amesema Kanisa linaona umuhimu wa kuendelea kuliombea Taifa na watu wanaoendelea kuishi na maumivu yaliyotokana na matukio hayo, akisisitiza haja ya kuombea umoja, upendo, ukweli, haki na mshikamano.
Leo umekumbuka ya mwembechai?. Ila watu wanafiki sana. Siku zote ulikuwa wapi?Tujadiliane kwa maombolezo ya vifo vya Mwembechai.Zanzibar 2001 na hii ya kutaka kupindua serikali.
Usipende sana hearsay.Si huwa mnasema hili ni Kanisa la Mafreemason.
Ndiomaana hakuna muislam mweny akili timamu ambae anawaunga mkono nyie makafiri!Waislamu msipokwenda shule ni shida sana. Wewe unachojua katika maisha yako ni madrasa na jihadi. Watu wanapoongelea uchumi wewe unaona madrsa, watu wakiongelea madini ya nchi yao wewe unaona madrasa na jihadi. Ni kazi kubwa sana ukawa great thinker sababu akili yako imeshakuwa slave to jihadi, madrasa.
Walikufa Zanzibar kanisa likakaa kimya kusa tu, Rais alikuwa chaguo lao, jamaa wabaguzi sana
Kumbe kukumbuka ni jambo baya? Kwani haya yametokea leo?Leo umekumbuka ya mwembechai?. Ila watu wanafiki sana. Siku zote ulikuwa wapi?
Mkuu mbona mkiambiwa na nyie kweli mnakua wakali na matusi juu. Kuiangusha serikali sio jambo zuri wala rahisiKumbuka kuja na sadaka yako mkuu alafu hakuna jua tofauti ya serikali kupinduliwa na CCM kupinduliwa kilaza wa mwisho wewe🚮
Amepata kwa kutokea.Leo umekumbuka ya mwembechai?. Ila watu wanafiki sana. Siku zote ulikuwa wapi?