MSUKUMA02
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 1,454
- 3,978
Mkuu kwani nani alitamka anataka kuiangusha serikali?? Mbona hammalizii kusema wananchi hawaitaki CCM🚮Mkuu mbona mkiambiwa na nyie kweli mnakua wakali na matusi juu. Kuiangusha serikali sio jambo zuri wala rahisi