Wamefuta 1 au 2 yaani ilikuwa na km217,000 au km117,000. Gari wanajua ni nzuri pamoja na km hizo ila wanajua ukiona hizo km hutanunua kwahio wanafuta tu hio 1 au 2 kukuridhisha. Gari ya 2002 itakuwaje na km12,000?
Nani kakwambia kazi ya Bandari ni kukagua Magari?Hawa wanachagua class duni kabisa, yakifika hapa wanaongea vizuri na wakaguzi, wanatolewa bandarini.
Gari yoyote used kutoka nje haikosi hitilafu mkuu
Labda mtu akanunue showroom toyota au dt dobie mapugu Road huko
Ova
Kama nawaona makamanda🤣🤣Hongera kwa kupata milioni 1 na bado umefichua uovu. Sasa hapo polisi nao wanakwenda kujipatia hela huko.
Hivi mkuu, unapobadilisha ile odometre, kumbukumbu za kilometa zinazosoma kwenye odometre mpya zinakua za gari toka iliponunuliwa au za toka odometer ilipobadilishwa??Wamefuta 1 au 2 yaani ilikuwa na km217,000 au km117,000. Gari wanajua ni nzuri pamoja na km hizo ila wanajua ukiona hizo km hutanunua kwahio wanafuta tu hio 1 au 2 kukuridhisha. Gari ya 2002 itakuwaje na km12,000?
Zitasoma za odometer mpya. Hii nayo ni njia rahisi ya kucheza na km za gari kwa wauzaji.Hivi mkuu, unapobadilisha ile odometre, kumbukumbu za kilometa zinazosoma kwenye odometre mpya zinakua za gari toka iliponunuliwa au za toka odometer ilipobadilishwa??
Msingi wa swali ni kuwa baadhi ya web za japan huwa unaona wameandika kabisa Changed odometer kama detail kwenye gari wauzalo
Jp au Ulaya mtu hawezi kununua gari kama hana matumizi nayo. Anyway it's all good.Niliagiza kutoka japan baada ya kuangalia details zote kwenye mtandao, unaweza kuta ilikuwa haitumiki mara kwa mara au mwenye gari hana safari au mizunguko mingi, au alikuwa na gari nyingine pia. Japan siyo kama bongo ambapo wengi wanakuwa na gari moja na wanazurura huku na huko bila mpangilio, wajapan wengi wana discipline ya hali ya juu ya maisha...
Swali gani hilo waniuliza sasa?! Na unataka nikujibu nini ili ufahamu nini maana haupo direct.Je una experience na car importation ya muda gani?
Yes..Very long time ago
Yaani umesema maoni yangu, eti mpakistani atoe milioni? Yaani hivi hivi tu?Mpakistani wa kutoa mil 1 hayupo,hio ni chai.
Odometer zitaendelea kuchezewa na Cha kufanya hakuna.
Gari yeyoye chini ya 100,000 imechezewa, na gari nzuri sio hizo odo ni kuipeleka fundi akague tuTupeni somo basi tujue utajyaje odometer iliyochezeshwa mauno
Ukaguzi ni kazi ya TBSNani kakwambia kazi ya Bandari ni kukagua Magari?
JanjajanjaWawekezaji hao,.
Ukiagiza kwa kutumia kampuni ganiHata kwenye kuagiza usipokuwa na elimu hio unapigwa pia.
Hio 16 unapata probox kali Japan plus ushuru
Umenkumbusha jaba. Hamhitaji serikali kuwasaidia. Jisaidieni wenyewe. Nenda choma moto kila kitu kwisha mchezoSerikali itupie macho uhuni unaofanywa na hawa wafanyabiashara wa magari wenye asili ya Pakistan.
Jana mida ya saa sita mchana tulienda na rafiki yangu kwenye moja ya maduka (yard) ya kuuzia magari. Rafiki yangu alikuwa anataka Toyota Probox kwa ajili ya kubebea mizigo yake Kariakoo na kwenye godown yake.
Tukafika hiyo saa sita tukakuta magari ndiyo yanapangwa. Walivyomaliza tukaomba kukagua gari moja. Kijana akaitwa akaja mbio na funguo za gari zikiwa mkononi kwake.
Nikakaa kwenye usukani na rafiki yangu pembeni. Nilipoiweka gari switch on nikakuta odometer inasoma gari imetembea kilometa 219,551. Bei milioni 16
Tukashauriana tukasema hapana hili gari halifai. Tukaendelea duka jingine na jingine na jingine.
By saa tisa tukafudi tena kwenye ile Probox, tukakuta ishachezewa odometer, sasa inaonekana imetembea kilometa 46,755.
Nilikuwa nimeoiga picha chasis namba mlangoni na dashboard. Nikipowauliza mbona hii gari mmeichezea kilometa, nikawaonyesha na picha wakakasirika sana wakapora simu yangu. Nikawaambia kaeni nayo, leo mtalala polisi.
Nikawa naondoka kulekea kwenye gari tuliyokuja nayo hapo yard, ndipo mmoja ya wafanyabiashara wale akaja mbio huku akinibembeleza nifute zile picha watatupa million moja.
Hela tamu, tukakubali kufuta picha, tukabeba milioni yetu. Tukaondoka.
Lakini backyard ya hizo yard zote kuna mafundi wako busy wanayaweka sawa mamikweche hayo.
Kingine tulichogundua ni kwamba kwenye minada ya magari, magari ya nauzwa kwa classes. Hawa wanachagua class duni kabisa, yakifika hapa wanaongea vizuri na wakaguzi, wanatolewa bandarini.
Kwa somo hili tulilojifunza jana rafiki yangu amekata tamaa kabisa na magari haya. Sasa kaona bora aagize kutoka Japan 🗾 asubiri siku 45 abebe mwana wake wa uhakika
Janmotors wanauza gari kama ilivokuja...na kama kuna issues wanakuambia, na wanakumbia wakufixie au wakupunguzie bei ukafix kwa fundi wako yet unanunua price ya chini..na wanakupa auction details zoteGari yeyoye chini ya 100,000 imechezewa, na gari nzuri sio hizo odo ni kuipeleka fundi akague tu
Jamaa yangu alinunua jan international ina 159,000 km hadi leo ina miaka zaidi ya 5 na bado inadunda na haijamsumbua
Hakika ni sahihiJanmotors wanauza gari kama ilivokuja...na kama kuna issues wanakuambia, na wanakumbia wakufixie au wakupunguzie bei ukafix kwa fundi wako yet unanunua price ya chini..na wanakupa auction details zote