DOKEZO Serikali tusaidieni wananchi, magari yanayouzwa kwenye yard za Wapakistan mitaa ya Morocco na Victoria ni mabovu sana

DOKEZO Serikali tusaidieni wananchi, magari yanayouzwa kwenye yard za Wapakistan mitaa ya Morocco na Victoria ni mabovu sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mpakistani wa kutoa mil 1 hayupo,hio ni chai.

Odometer zitaendelea kuchezewa na Cha kufanya hakuna.
Acha ushamba wewe mimi nishakula sana hela zao kila nikipeleka mteja napewa laki6 anunue asinunue
 
We kenge baada ya kuchukua rushwa ya milioni moja ndio unakuja kuleta majungu hapa. Kama mzalendo kweli si ungwekwenda kwenye mamlaka husika kutoa taarifa
 
Back
Top Bottom