Mwiba1 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 1,122 Reaction score 2,445 Feb 22, 2024 #221 wa kupuliza said: Mpakistani wa kutoa mil 1 hayupo,hio ni chai. Odometer zitaendelea kuchezewa na Cha kufanya hakuna. Click to expand... Acha ushamba wewe mimi nishakula sana hela zao kila nikipeleka mteja napewa laki6 anunue asinunue
wa kupuliza said: Mpakistani wa kutoa mil 1 hayupo,hio ni chai. Odometer zitaendelea kuchezewa na Cha kufanya hakuna. Click to expand... Acha ushamba wewe mimi nishakula sana hela zao kila nikipeleka mteja napewa laki6 anunue asinunue
Mavipunda JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 7,072 Reaction score 7,891 Jun 20, 2024 #222 We kenge baada ya kuchukua rushwa ya milioni moja ndio unakuja kuleta majungu hapa. Kama mzalendo kweli si ungwekwenda kwenye mamlaka husika kutoa taarifa
We kenge baada ya kuchukua rushwa ya milioni moja ndio unakuja kuleta majungu hapa. Kama mzalendo kweli si ungwekwenda kwenye mamlaka husika kutoa taarifa