ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Huku vijijini tumevuna mahindi
Mahindi yapo mengi mno.
Wakulima hatuna wanunuzi wa mazao haya ya mahindi, Sasa tunavuna na msimu wa kupanda unaanza tunapanda tukiwa na mahindi mengi ndani
Tunawekeza pesa, nguvu na muda kulima ila tukivuna tunakosa bei na hata wateja wa bei ndogo hatuwaoni.
Tutaishije sisi wakulima.
Au tuje Kariakoo tuwe mawinga
Huku kwetu ndio ya mahindi ukipata mteja wa bei ya juu ni sh 5000
Ila kawaida kuuza ndio elfu 3000
Serikali tunaomba muwashawishi wateja waje kutupa japo bei nzuri kidogo
Au Fanya mpango serikali iyanunue na kuwapa wanafunzi shule wanashinda njaa
Mahindi ni mengi
Kama Kuna mteja yupo serious njoo PM Nina Tani kadhaa
Nipo Ngara njoo tufanye biashara