Serikali tutafutie wanunuzi wa mahindi

Serikali tutafutie wanunuzi wa mahindi

Tena umenikumbusha, Lucas Mwashambwa naomba unirlekeze jinsi ya kuhifadhi maharage yasiingiliwe na wadudu.
Yangekuwa mengi ningesema tuyaweke Dawa . Ila kwa hayo ni kidogo sana na nisingependa yawekwe dawa wakati tunaendelea kuyatumia. Dawa zina athari na madhara miaka ya mbele .tusipende kuijazia sumu miili yetu.

tunakuwa tunaua na kuharibu na kuathiri vingi sana miilini mwetu ephen. Tunaweza tusione leo athari ila ikaja onekana miaka ya mbele huko na tusijue hata chanzo chake .

maana tutakuwa tumesahau kuwa tumewahi kuweka dawa kwenye maharage.

Nisamehe ephen wangu kwa kuandika kwa kirefu ndio maana nimeweka kwenye aya ili usome mpaka utakapotaka kuishia halafu pengine utamaliziaga wakati mwingine.
 
Asante lucas.
 
Kumbe mahindi yapo mkuu naomba nichek naitaji tani 12 kila gunia nitalipia 80 natafuta mwenyewe nakuja mpaka ulipo nichek watsap 0743014032
 
Panda kidogo nikuuzie elfu 96,000 gunia la kg 120
Nikuuzie 800 Kwa kg
 
Back
Top Bottom