Serikali tutafutie wanunuzi wa mahindi

Serikali tutafutie wanunuzi wa mahindi

Ndugu ongeza thamani ya hayo mahindi,usiishe kuvuna tu na kuuza,fikiria kuanza kuzalisha unga.

Mifuko itakusumbua mwanzoni ila ukishapata logo yako wanakua wanakuprintia tu ya kilo 10,20 na 5 kegs
 
Ndio nakula, lakini kwa ulaji wangu haya yanaweza kupiga hata miezi 6-9 ndio maana nataka kuyaweka jinsi ambayo wadudu hawatoingia.
Kwa kiasi chako ulichonacho sikushauri uweke dawa
 
Ndugu ongeza thamani ya hayo mahindi,usiishe kuvuna tu na kuuza,fikiria kuanza kuzalisha unga.

Mifuko itakusumbua mwanzoni ila ukishapata logo yako wanakua wanakuprintia tu ya kilo 10,20 na 5 kegs
Wazo zuri ngoja nisake pesa
 
Ndio nakula, lakini kwa ulaji wangu haya yanaweza kupiga hata miezi 6-9 ndio maana nataka kuyaweka jinsi ambayo wadudu hawatoingia.
Huna mme, watoto au wanajumuiya wa kukusaidia kuyala
 
Back
Top Bottom