Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Nunua mifuko ya kinga njaa rafikiNaomba unielekeze jinsi ya kutunza maharage ndani bila kuingia wadudu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua mifuko ya kinga njaa rafikiNaomba unielekeze jinsi ya kutunza maharage ndani bila kuingia wadudu.
Shida ulipo na nilipo usafiri ni ghari ila kama utaleta mwenyew nachukua kwa lakiPanda kidogo nikuuzie elfu 96,000 gunia la kg 120
Nikuuzie 800 Kwa kg
Kilo 100gunia la kilo ngapi?
unataka mapya au makuu kuu?Kilo 100
kwani upo wapi mkuuShida ulipo na nilipo usafiri ni ghari ila kama utaleta mwenyew nachukua kwa laki