Serikali tutafutie wanunuzi wa mahindi

Ndugu ongeza thamani ya hayo mahindi,usiishe kuvuna tu na kuuza,fikiria kuanza kuzalisha unga.

Mifuko itakusumbua mwanzoni ila ukishapata logo yako wanakua wanakuprintia tu ya kilo 10,20 na 5 kegs
 
Ndio nakula, lakini kwa ulaji wangu haya yanaweza kupiga hata miezi 6-9 ndio maana nataka kuyaweka jinsi ambayo wadudu hawatoingia.
Kwa kiasi chako ulichonacho sikushauri uweke dawa
 
Ndugu ongeza thamani ya hayo mahindi,usiishe kuvuna tu na kuuza,fikiria kuanza kuzalisha unga.

Mifuko itakusumbua mwanzoni ila ukishapata logo yako wanakua wanakuprintia tu ya kilo 10,20 na 5 kegs
Wazo zuri ngoja nisake pesa
 
Sasa hivi wasambazaji unga wamekua wengi, kila mfuko na jina lake
Ni kweli kwa Dar kila mtu na Jina lake na kila mtu anauza ,chakula hakikosi mlaji,
Tofauti na mahindi wanunuzi wachache lakini unga kila mtu anakula ugali atauza tuu
 
Ndio nakula, lakini kwa ulaji wangu haya yanaweza kupiga hata miezi 6-9 ndio maana nataka kuyaweka jinsi ambayo wadudu hawatoingia.
Huna mme, watoto au wanajumuiya wa kukusaidia kuyala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…