Serikali: Visa vya COVID-19 vyafikia 53. Vyuo na Shule kuendelea kufungwa hadi Serikali itakapotoa tamko jingine

ningetamani wanafunzi wa elimu ya juu wasome online classes. Ingawa bado wengine watasingizia bundle.

But there must be a way ya kuwasaidia vijana wetu. Hawa wa sekondari na primary hawana shida Sana kwasabababu hawana Mambo mengi kichwani
 
Hata kama mtu ana uhitaji wa mwalimu hawezi kukupa ww, una matatizo ya herufi H, angalia hapo ulipoandika Hila, pia hapo ulipoandika Hiki badala ya Ili. Nyie ndio wale mkipewa mwanafunzi wa kike unaishia kumpa account ya facebook.
kwikwikwi hatari kwa afya.
 

umenena
 

Waambie hao vilaza walioandika hiyo barua tarehe 26 aprili sio sikukuu ya mapinduzi. Waziri mkuu naye anasaini barua bila hata kuisoma! Hivi akiletewa mkataba wenye page 300 ataweza kuusoma kweli, wakati page mbili tu anasaini bila kusoma?
 

ila na si Hila
 
Kaa nyumbani.

Ukitoka vaa barakoa na gloves hapo utakuwa salama
Mkuu mimi nikitoka nje nimevaa barakoa watu wananishangaa na kunikashifu.
Yupo layman mmoja ananiuliza unavaa barakoa barabarani?

Yeye kwa uelewa wake una hitaji barakoa kwenye mkusanyiko tu kama kwenye usafiri wa umma au sokoni kwenye msongamano au ndani ya jengo.
 
Hii nchi ni tajiri. Siwezi kutoa fedha zangu ndogo kuchangia serikali ya nchi tajiri.
 
ningetamani wanafunzi wa elimu ya juu wasome online classes
Ingawa bado wengine watasingizia bundle
But there must be a way ya kuwasaidia vijana wetu
Hawa wa sekondari na primary hawana shida Sana kwasabababu hawana Mambo mengi kichwani

Watoto wanamambo mengi kichwani uwezi amini tunaona vurugu zao huku mtaani

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Kumbe sikukuu ya mapinduzi ni tarehe 26/4...historia inabarika kwa kasi

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Hapo maana yake vyuo na mashule vimefungwa kwa muda usiojulikana.

Alafu hiyo sherehe ya Mapinduzi ya April 26 ni ipi hiyo?
Huyo mwandishi anaadika utadhani anakimbizwa......

Kama ulivyouliza hizo sherehe za Mapindiuzi ndiyo zipi?

Tunajua kuwa sherehe za Mapinduzi tulishazisheherekea mwezi January na sherehe zinazofuata ni za Muungano
 
Huyo mwandishi anaadika utadhani anakimbizwa......

Kama ulivyouliza hizo sherehe za Mapindiuzi ndiyo zipi?

Tunajua kuwa sherehe za Mapinduzi tulishazisheherekea mwezi January na sherehe zinazofuata ni za Muungano

Kibaya zaidi ni barua toka ofisi ya waziri mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…