Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

We jamaa una roho mbaya kama mbuzi mjamzito....

Sijui kwanini mwendazake hakuhakiki vyeti vya mapolisi na wanajeshi.... Ile ilikuwa double standard ya kihuni sana
Waliogopa wale wakiwatoa wataenda kuunda makundi ya waasi
 
nnachokiona hapa itapigwa moja na mbili halafu watuhumiwa hao hawataona kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

mambuzi yako yanaruka walipweeeeeee.

Ukizoea konyonga vya kuchinja si size yako….
 
WEWE uligushi Cheti tu
Yule prof wa UdSM alikutw na vyeti feki na bado aliyekua rais alimteua waziri wa sheria..kwahyo ukiwa na vyeti feki hutakiwi kulipwa wala kua mtumisha wa umma ila ni ruksa kua waziri au mbunge si ndio...mbona hamkulalamika alivyopewa uwaziri wa sheria yule prof??? Waachen jaman walipwe hizo 5% tu wapate mitaji tu.
 
Tunahalalisha wizi.
Kabudi alikua kwenye list ya vyeti feki kama prof UDSM ,lakn mbona alipopewa uwaziri hamkusema kama Rais aliyekuepo amehalalisha wizi???
 
Kabisa ,si ndio hapo ,hii nchi ni ya kiseng£ sana ,kuna mambo inabidi siasa ikae pembeni ,hawa wapuuz ilipaswa wafungwe pigwa fine na kufilisiwa maana ajira zao ni batili ,hivyo mishahara yao pia ni batili so waliiba pesa za serikali kupitia mishahara ya ajira feki na plus walihoji vyeti ambazo ni nyaraka za kiserikali hilo ni kosa la jinai pia
 
Makonda yupo mitaani anakula bata
 
Acha utaahira hiyo pesa ya serikali unadhani inaokotwa au ? , Mwisho wa siku unajua ni nani anayekuja kubeba huo mzigo ? Nyie wapuuz ndio additional tax na tozo nyingine zikiongezwa kwenye bidhaa na huduma mnakuja kulialia hapa ,
Mxieew .mna laana
Ningeshauri serikali pamoja na kuwalipa pesa zaa iwape hata room tatu za kulala. Kama atakuwa Hana nyumba hiyo hell haitoshi. Wapigiwe mahesabu ya vyumba vitatu na choo serikali iwasaidie pamoja na pesa zao. Maisha ni magumu mno.
 
Makonda yupo mitaani anakula bata
Haiondoi bado upuuz na ujinga uliofanywa na hao wafoji vyeti , kwa hiyo wewe ulitaka hao wapuuz waachwe waendelee kubenefit kwa kuvuta mishahara bwerere bila kuwa na qualifications za kitaaluma zinazohitajika ? Mbona mna akili za kizwazwa hivi ?
Bashite na viongozi wengine wa serikali nao ilibidi wachunguzwe na kung'olewa,wala siko hapa kumtetea bashite au taahira yoyote mfoji vyeti ,hii tabia ya kufunika uozo itaendelea kuicost nchi miaka 1000 ijayo
 
Hizo pesa ni m
Hizo pesa za kuwalipa hao Kenge ni mabilioni ya shilingi , pesa ambazo zingeweza kufanya mambo mengi useful Kwa jamii kama kutoa mitaji na vitendea kazi vya kisasa kwenye kilimo au mashine za uchakataji wa mazao kuongeza thamani hasa kwa vijana wasio na ajira
 

Roho ya kimaskini hii.
 
Uko sawa mkuu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kama hawa watu wanastahili kulipwa inakuwaje leo shule zinafutiwa matokeo kisa wizi wa mitihani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…