Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Yuko kwao umekwenda ukamkosa mbona swali la kitoto sanaTuambie Ben alipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko kwao umekwenda ukamkosa mbona swali la kitoto sanaTuambie Ben alipo.
Walikua wanalipwa mshahara kama watu 2 tofautiKuna watu Unakuta yeye alitumia cheti kimoja na ndugu yake mmoja Akaenda police Mwingine Nursing sasa katika kuwatafuta hawa vyeti feki ..huyo wa police akafungiwa mshahara sasa huyo automatically akajiondoa so hapo ...inakaaje ktk kupewa kiinua mgongo?
Magu fool.. mwenyewe jizi lile...lilijenga air port kwao kwa hela hizo za dhuruma. Mungu muweza akaona isiwe tabu..akalionyesha kazi mpaka leo lina beba mtondoo ahela.Nchi ya wajinga hii! Watu kibao hawana ajira na vyeti vyao halali halafu mnaanza kulipa hela mtu aliyeiibia nchi miaka kibao! Kwani wakati anatumikia alikuwa hapati mshahara!
Lakini kwa Nini wali forgi vyeti!!??Hata hiyo inawatosha
Inauumaa saanaaa kuuonaa Tanzania yetu eti kosa la kugushi linachukuliwa kiwepesi sana hata na DPP mwenyewe wakati kugushi ni kosa la Jinai!!?? Na kifungo chake si chini ya miaka 7!!! DPP somewhere somehow anatuangusha!!!!Kati ya Serikali na wao nani mwizi hapo??
Hawajaiibia tu Serikali pia wamesababisha watu wenye sifa kukosa hizo nafasi.
Hawa hawakustahili kulipwa, walipaswa washtakiwe kwa ulaghai au kughushi nyalaka ( wataalamu wa sheria wanaweza kufafanua zaidi)
Kufoji ni udanganyifu na faida walioipata ni uhujumu uchumi, sasa mwenye serikali au wale wanufaika wa wenye vyeti fake wameishika serikali. All in all hii ni huruma na msamaha tunamshukuru Mungu kwa hii huruma kubwa ya Kimungu Kwa mamlaka na hasa aliependekeza, aliewaza na aliidhinisha na atakaefanikisha. Mungu awabariki.
Yaani unamlipa mwizi kwa sababu ya huruma tu!!Mtu akiwa na cheti feki ukweli ni kwamba inabatilisha hata ajira aliyoipata kwa kutumia vyeti hivyo. Katika jambo hili nasimama na JPM.
Mambo ya kugushi nyaraka ni kinyume cha sheria. Kwa hiyo basi ile kutokushtakiwa na kuhukumiwa ilikuwa ni huruma tosha kutoka serikalini. Sasa suala la kuwalipa waliogushi vyeti linatoka wapi wakati ajira zao zilikuwa batili!?
Katika baadhi ya mambo nilimuelewa sana JPM. Alikuwa jasiri, mwenye uthubutu wa kuchukua hatua na kufichua uozo. Sasa msimamo wa serikali umeshabadilika na kutaka kuwapa shavu wakosaji!?
RIP Magufuli.
Haya maamuzi ni ya mamlaka ya juu, it's a decree decision, DPP anapewa Maelekezo, mwenye pesa ni Rais wa nchi husika na ndiye huidhinisha malipo.Inauumaa saanaaa kuuonaa Tanzania yetu eti kosa la kugushi linachukuliwa kiwepesi sana hata na DPP mwenyewe wakati kugushi ni kosa la Jinai!!?? Na kifungo chake si chini ya miaka 7!!! DPP somewhere somehow anatuangusha!!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kumbuka alishindwa kuwaondoa polisi wenye vyeti feki, isiishie kusimama nae tu, kalale nae pia[emoji3061]Mtu akiwa na cheti feki ukweli ni kwamba inabatilisha hata ajira aliyoipata kwa kutumia vyeti hivyo. Katika jambo hili nasimama na JPM.
Mambo ya kugushi nyaraka ni kinyume cha sheria. Kwa hiyo basi ile kutokushtakiwa na kuhukumiwa ilikuwa ni huruma tosha kutoka serikalini. Sasa suala la kuwalipa waliogushi vyeti linatoka wapi wakati ajira zao zilikuwa batili!?
Katika baadhi ya mambo nilimuelewa sana JPM. Alikuwa jasiri, mwenye uthubutu wa kuchukua hatua na kufichua uozo. Sasa msimamo wa serikali umeshabadilika na kutaka kuwapa shavu wakosaji!?
RIP Magufuli.
Income yoyote waliyoipata wakati wanatumikia kwa njia ya udanganyifu sihalali.Elewa hawalipwi staafu! Ni michango yao waliyochangia na mwajiriwa wao pia.
Michango iliyotokana na Ajila batili nayo ni batili pia.Elewa hawalipwi staafu! Ni michango yao waliyochangia na mwajiriwa wao pia.
Mungu awabariki wale waliofikiria juu ya hili jamani wapate jasho lao ni haki yao.Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja.
Siku ya leo Mawaziri Wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu michango ya pensheni waliyokatwa Watumishi waliondolewa kazini baada ya zoezi maalumu la Uhakiki wa vyeti .
Mkutano huo utaongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menijementi ya Umma na Utawala Bora. Mhe.Jenista Mhagama
Pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako.
Mkutano utaanza saa tatu kamili asubuhi katika ukumbi wa PSSSF Tower ghorofa ya Nne Dodoma.
Ni wapumbavu tu ndio wataona hili liko sawa, Hamna mtu ambae ana uchungu na Taifa hili na rasilimali zake ata afiki huu ujinga.Kati ya Serikali na wao nani mwizi hapo??
Hawajaiibia tu Serikali pia wamesababisha watu wenye sifa kukosa hizo nafasi.
Hawa hawakustahili kulipwa, walipaswa washtakiwe kwa ulaghai au kughushi nyalaka ( wataalamu wa sheria wanaweza kufafanua zaidi)
Kosa lao lipo wazi ila kwa kuwa kampeni za kisiasa zimekwisha anza chini kwa chini hilo linaonekana kama sio tatizo.Na kwanini walifanya sabotage? Kutumia vyeti ambavyo sio halali