Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi watu waliokosa umakini na kuwaajiri wenye vyeti feki? Nao walichukuliwa hatua?!Mtu akiwa na cheti feki ukweli ni kwamba inabatilisha hata ajira aliyoipata kwa kutumia vyeti hivyo. Katika jambo hili nasimama na JPM...
Kuna watu hawana ajira huu mwaka wa sita wanasota kitaa....halafu pesa ambayo ingetumika kuwapa walau mikopo au ajira za muda mfupi ndio anakwenda kupewa mwizi alieiibia serikali kwa miaka 15[emoji848][emoji848]..........kweli mama yangu mama samia umejua kuniaibisha pamoja na kutetea kote huko??[emoji848][emoji848][emoji848]
Polisi,JW n.k,sidhani kama walikumbwa na hiyo kadhia,na wale walioogopa wakakimbia,kuna namna iliyotumika kuwaita.Kuna watu Unakuta yeye alitumia cheti kimoja na ndugu yake mmoja Akaenda police Mwingine Nursing sasa katika kuwatafuta hawa vyeti feki ..huyo wa police akafungiwa mshahara sasa huyo automatically akajiondoa so hapo ...inakaaje ktk kupewa kiinua mgongo?
Nchi itakuwaje kuzimu wakati mkuu wa kuzimu alishakimbilia huko kuzimu!!Sasa kwa taarifa yako nchi hii ndo iko kuzimu kabisa! Wewe kwa akili yako kisoda unajojua ni kishabikia upuuzi!
Sjaelewa hikiiiWatapewa michango yao tu, sio ya mwajiri wala sio pension.
Wengi wameliwa vichwa wakiwa na mshahara chini ya m1 na wakiwa kazini pungufu ya miaka 15 na ikumbukwe walianza kazi na mishara midogo sana pungufu ya laki.
Watapata hela pungufu ya milion 6
Umefika wakati wa Nchi hii na Machawa waelewe kuwa mtu yule RASMI Kwa hili amefutika kabisa kwenye akili za watu. Hatakiwi kuandikwa tena humu wala popote utukufu na masifa yamefutwa.Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja.
Siku ya leo Mawaziri Wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu michango ya pensheni waliyokatwa Watumishi waliondolewa kazini baada ya zoezi maalumu la Uhakiki wa vyeti .
Mkutano huo utaongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menijementi ya Umma na Utawala Bora. Mhe.Jenista Mhagama
Pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako.
Mkutano utaanza saa tatu kamili asubuhi katika ukumbi wa PSSSF Tower ghorofa ya Nne Dodoma.
Yaani si haba hasa ukiwaza hukuwa na kazi miaka 6 imepata familia umeiendesha Kwa vibarua na shida acha iwe iwavyo yule mtu asahaulike !Watapewa michango yao tu, sio ya mwajiri wala sio pension.
Wengi wameliwa vichwa wakiwa na mshahara chini ya m1 na wakiwa kazini pungufu ya miaka 15 na ikumbukwe walianza kazi na mishara midogo sana pungufu ya laki.
Watapata hela pungufu ya milion 6
Elewa hawalipwi staafu! Ni michango yao waliyochangia na mwajiriwa wao pia.Kati ya Serikali na wao nani mwizi hapo??
Hawajaiibia tu Serikali pia wamesababisha watu wenye sifa kukosa hizo nafasi.
Hawa hawakustahili kulipwa, walipaswa washtakiwe kwa ulaghai au kughushi nyalaka ( wataalamu wa sheria wanaweza kufafanua zaidi)
Kuna Hawa waliobadilisha namba za watahiniwa na Shule kupigwa [emoji1630] hawana tofauti ndio walewale. Kuna mahali iko tatizo!Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja.
Siku ya leo Mawaziri Wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu michango ya pensheni waliyokatwa Watumishi waliondolewa kazini baada ya zoezi maalumu la Uhakiki wa vyeti .
Mkutano huo utaongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menijementi ya Umma na Utawala Bora. Mhe.Jenista Mhagama
Pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako.
Mkutano utaanza saa tatu kamili asubuhi katika ukumbi wa PSSSF Tower ghorofa ya Nne Dodoma.
Mahali palipo na feki katika nchi hii ni Jeshi la Polisi. Huko wapitie watakutana na majabu.!Wale watu walidhulumiwa sana. Kwanza nchi moja kuwa na double standard katika maamuzi si sawa. Hao hao wenye vyeti feki kwenye vyombo vya dola hawakuguswa !!.
Pili kosa halikuwa lao bali mfumo uliowaingiza kwenye ajira. Hawakulazimisha kuingia kwenye ajira bali uhitaji wa mfumo ndiyo uliowaingiza.
Tatizo la Samia hata shule yake ndogo pia anatafuta vijisifa vya kuokoteza!Ntakuwa MTU wa mwisho kuunga mkono hili suala ,hawa ilibidi wawe jela sio kulipwa hela
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Magufuli aliwapora haki yao Mama Samia anawarejeshea haki yao tatizo nini sasa kama ni haki kulipwa walipwe tu.