Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
 
Attachments

  • 97CF4345-4B45-4511-91E3-1F67C456D17A.jpeg
    97CF4345-4B45-4511-91E3-1F67C456D17A.jpeg
    87.7 KB · Views: 4
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
Huwa tunatamani mada ziwe detailed kwanza ueleze kwa kina Ni akina nani hao wanaozungumziwa, kilichopelekea kutolewa kazini na kinachofanyika sasa na mapungufu yake HALAFU UTOE ALTERNATIVE ILI TUELIMIKE
 
Angeanzwa Bashite

Wafungwe kwanza hao wenye machakumchuzi waloshindwa kutambua vyeti feki wakawapa kazi Hilo kundi.
Alafu tumtambue na huyo mchspisha vyeti feki wafungwe pamoja
 
Huwa tunatamani mada ziwe detailed kwanza ueleze kwa kina Ni akina nani hao wanaozungumziwa, kilichopelekea kutolewa kazini na kinachofanyika sasa na mapungufu yake HALAFU UTOE ALTERNATIVE ILI TUELIMIKE
NINI usichokijua kuhusu Vyeti Feki?Detail gani unazitaka? Nenda Wizara ya Utumishi au IKULU utazipata
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
Kwanza zoezi lilikua la kibaguzi Sana, unaondoa watu wa chini shida vyeti ,lakin kwenye taasisi zingine unaogopa kugusa, mwendazake , nilisha chonga fimbo ya mpingo ,siku nikikutana naye na washika wake kwenye maovu ,nikuwatembezea fimbo zenye adabu
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
Miaka 5 yote kwa nini hamkuwashtaki?

Ushetani peleka chato
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
NGOJA WAJE HAPA WAKUTOLEE POVU. YAANI UTAONA WEWE UMEKOSEA. MITANZANIA MINGI NI VILAZA. WATAKUTUKANA HAPA ILE MBAYA.
 
Mi najua kufoji cheti au kitu chochote Kwa Nia ya kujipatia kipato ni udanganyifu na ni kosa la jinai.

Sijui hawa watu wanalipwa Kwa sheria ipi. Au ndo kujaribu kusaka Kura za mapema.

Achana na hivyo wajanja tayari wameona upenyo kuna hela wafanyskazi hewa wengi Sana wanaenda kulipwa.

Hizo hela Bora hata zingeenda kujenga miundo mbinu ya maji Dar es salaama

Mama kaanzia alipoishia JK. hili halina tofauti na kuwarudisha wajazito shuleni..
 
Waziri wa Kazi Prof Ndalichako amesema Watumishi wa umma Waliofukuzwa kwa vyeti feki watalipwa 5% waliyochangia Kwenye Mifuko ya Jamii basi ile 15% waliyochangiwa na Serikali itabaki serikalini

Source ITV habari
 
wacha roho mbaya acha watu wafutwe machozi na hivyo vijisenti, shuruba ya yule mzee marehemu ilikuwa sio mchezoo
 
Back
Top Bottom