Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

Kati ya Serikali na wao nani mwizi hapo??

Hawajaiibia tu Serikali pia wamesababisha watu wenye sifa kukosa hizo nafasi.

Hawa hawakustahili kulipwa, walipaswa washtakiwe kwa ulaghai au kughushi nyalaka ( wataalamu wa sheria wanaweza kufafanua zaidi)
Jiwe lilikuwa na roho mbaya
 
Hawa wote hawatakiwi kupewa chochote! Kwani wasipopewa maisha hayataenda? Mbona watu kibao wapo mtaani wanapambana huku wanadgree na diploma zao halali kwenye makabati huko! Hawa ni wakuwatema wakafie mbele wezi hao!
Jiwe ndio lilikuwa jizi la haki za watu za kuishi
 
Hivi kweli unaandika kusapot. Wezi? Nchi hii ya Ajabu sana. Tena Magufuli aliwaonea huruma hawa majizi.

Tunasomesha Watoto wetu kwa gharama kubwa wanakosa Ajira. Kwa sababu kuna watu wanafanyakazi kwa kutumia vyeti feki.

Siungi mkono hoja ya SERIKALI kuwalipa wezi fedha tena ilitakiwa warudishe fedha zote za walipa kodi walizolipwa kwa miaka yote.
YEYE ALIIBA KURA MILIONI 12 NDIO MTAKATIFU?

AKAFIE CHATO HUKO!
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
 
Hivi kweli unaandika kusapot. Wezi? Nchi hii ya Ajabu sana. Tena Magufuli aliwaonea huruma hawa majizi.

Tunasomesha Watoto wetu kwa gharama kubwa wanakosa Ajira. Kwa sababu kuna watu wanafanyakazi kwa kutumia vyeti feki.

Siungi mkono hoja ya SERIKALI kuwalipa wezi fedha tena ilitakiwa warudishe fedha zote za walipa kodi walizolipwa kwa miaka yote.
Kwani hizo pesa zinatoka mfukoni kwa baba yako au baba yako aliwaajori? Naona unalalamoka Sana. Kama kinakuuma Sana nenda kakae pale geti la hazina uzuie pesa upeleke nyumbani kwako.

Acha walipwe pesa zao. Ila wewe utakufa masikini na roho yako mbaya. Wewe jisikie mida huu kwa sababu mjanja utayaona huko mbeleni.
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
Tatizo lako ndugu ni ukosefu wa mlo kamili.Yaan wewe na vyeti feki ni kama hawara wa mama yako unavyomchukia.Pia nahisi hata maana ya vyeti feki huijui kutokana na utapiamlo unaokusibu.
Ifike hatua uone aibu,
Naongea hivi kutokana na mada zako nyingi umekuwa unaonesha hasira dhidi ya hawa ndugu zetu walioondolewa kazini kazini kihuni na mhuni mwenzako.Wenye akili walipoingia serikalini wamekuumiza roho sana baada ya kupinga uhuni uliofanywa na mhuni mwenzako.
Acha walipwe ni haki yao wala siyo haki ya mama yako wala baba yako.
 
Itakuwa kama sio wewe Baba yako au Mama yako ALIGUSHI CHETI ndio maana umeumia sana jiandae ukachukue cheki ya Laki 1 Kama unadhani ni Mamilioni imekula kwako
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
Hizi ndiyo zile mbegu za machuki na mikosi alizoacha baba yao. Ndiyo maana mvua ilipotea.
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
We jamaa una roho mbaya kama mbuzi mjamzito....

Sijui kwanini mwendazake hakuhakiki vyeti vya mapolisi na wanajeshi.... Ile ilikuwa double standard ya kihuni sana
 
WEWE uligushi Cheti tu
 
Back
Top Bottom