Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
Hizi ndiyo zile mbegu za machuki na mikosi alizoacha baba yao. Ndiyo maana mvua ilipotea
We jamaa una roho mbaya kama mbuzi mjamzito....

Sijui kwanini mwendazake hakuhakiki vyeti vya mapolisi na wanajeshi.... Ile ilikuwa double standard ya kihuni sana
Usiku wa leo asipoangalia atatwangwa mingumi. Analalamika Kama anachukua nyumbani kwake.
 
Kilichoniudhi ni zoezi la vyeti feki kuwa na double standard kina Makonda,Madelu majeshi ya ulinzi na usalama nk wakaachwa kama vile walikuwa sio watumishi wa Tanzania.
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
Hivi kughushi ninini!,Mr X amesomea udaktari na Mr Y akaiba Malala ya cheti cha Mr X akaibadilisha na ikasomeka ni cheti cha Mr y .AU,Mr X akachukukua cheti chaMr Y Cha kumaliza(PCB)v1 akasomea udaktari,Sasa 😁 hapo nani mwenye cheti fake Cha taaluma. Ile haikua sawa,lakini mkuki kwa nguruwe.
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
If you don't want the rules follow them reach at the top change the rules.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Wewe uligushi Cheti
Na wale sijawahi kifanyakazi serikalini. Kilichoniuma ni jinsi walivyopoteza muda wao na barua za ajira wanazo. Wewe na maugomvi yako unafiki visaso vyako unaingilia mambo yasiyokuhusu.
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
Tuliaaa Tupo na MAMA 2025 KAZIINDELEE
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
Rais Samia anatafuta kuungwa mkono kwa kufanya uhalifu,hatari sana
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA

Aliyeendesha hilo zoezi la vyeti fake mwenyewe alikuwa na PhD fake. Na kama kweli alikuwa anapambana na vyeti fake, mbona hakwenda kwenye vyombo vya dola maana huko ndio kumejaa wenye vyeti fake? Lile zoezi halikuwa la haki.
 
Aliyegushi Phd hamkuishia kumpa Urais tu bali mkampa na nafasi ya kuua aliyehoji Phd yake
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
soma vizuri sheria na kanuni za kudumu za utumishi wa umma mkuu
kwa kawaida ili umhukumu mtu lazima umpe haki ya kujitetea hata majambazi na walioua hupewa hiyo haki (natural justice) walipewa?
wanacholipwa ni michango yao mfno PSSSF walikatwa kwenye mishahara yao waliyokuwa wanaitolea jasho
ukilichukulia hili suala kisasa utaona ilikuwa ni halali lakini kisheria lilikosewa
ilikuwa ni suala la muda tu
Tusipende kuwaonea watu ili kukidhi matakwa ya kisiasa
 
Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja.

Siku ya leo Mawaziri wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari Kuhusu michango ya pensheni waliyokatwa Watumishi waliondolewa kazini baada ya zoezi maalumu la Uhakiki wa vyeti .

Mkutano huo utaongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menijementi ya Umma na Utawala Bora. Mhe.Jenista Mhagama

Pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako.

Mkutano utaanza saa tatu kamili asubuhi katika ukumbi wa PSSSF Tower ghorofa ya Nne Dodoma.
Wavuvi unatuonaje bimkubwa rais wetu mbona kamahutambui kama tulifanyiwa unyama mkubwa namalizetu hadi sasa wanazo hawataki kurudisha kutupuuza ziwa Tanganyika kata yakalya inatuuma sana
 
Wanatakiwa kulipwa kwasababu walitimuliwa kiholela na ubabe.
 
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
Tanzania hilo ni tatizo la kitaifa. Kuna akina Mwigulu huko Rais mtarajiwa na majina yao bandia.

Anyway, kesi zso zingekuwa ghalama kubwa kwa serikali na hawana uwezo wa kuzimudu zote hizo. Binafsi naamini serikali haikuwaonea ndiyo maana hata wao hawakwenda mahakamani.
 
Back
Top Bottom