Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Aliekosa au kukutwa na tuhuma mahakamani, akiadhibiwa nchi inapata faida gani? Jibu kama vipi wasihukumiwe si ndio unataka!!Wakihukumiwa hawa wote nchi itapata faida gani kiuchumi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliekosa au kukutwa na tuhuma mahakamani, akiadhibiwa nchi inapata faida gani? Jibu kama vipi wasihukumiwe si ndio unataka!!Wakihukumiwa hawa wote nchi itapata faida gani kiuchumi??
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
Huwa tunatamani mada ziwe detailed kwanza ueleze kwa kina Ni akina nani hao wanaozungumziwa, kilichopelekea kutolewa kazini na kinachofanyika sasa na mapungufu yake HALAFU UTOE ALTERNATIVE ILI TUELIMIKEKUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
NINI usichokijua kuhusu Vyeti Feki?Detail gani unazitaka? Nenda Wizara ya Utumishi au IKULU utazipataHuwa tunatamani mada ziwe detailed kwanza ueleze kwa kina Ni akina nani hao wanaozungumziwa, kilichopelekea kutolewa kazini na kinachofanyika sasa na mapungufu yake HALAFU UTOE ALTERNATIVE ILI TUELIMIKE
Mwambie ukweli huyo pimbi!Aliyewafukuza kazi naye alikuwa na Phd fake
Kwanza zoezi lilikua la kibaguzi Sana, unaondoa watu wa chini shida vyeti ,lakin kwenye taasisi zingine unaogopa kugusa, mwendazake , nilisha chonga fimbo ya mpingo ,siku nikikutana naye na washika wake kwenye maovu ,nikuwatembezea fimbo zenye adabuKUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
SawANINI usichokijua kuhusu Vyeti Feki?Detail gani unazitaka? Nenda Wizara ya Utumishi au IKULU utazipata
Miaka 5 yote kwa nini hamkuwashtaki?KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
Two wrongs dnt make a rightAliyewafukuza kazi naye alikuwa na Phd fake
NGOJA WAJE HAPA WAKUTOLEE POVU. YAANI UTAONA WEWE UMEKOSEA. MITANZANIA MINGI NI VILAZA. WATAKUTUKANA HAPA ILE MBAYA.KUGUSHI ni Kosa la Jinai Mhusika hushtakiwa Mahakamani akipatikana na HATIA Huhukumiwa ikiwa ni pamoja na KUFUKUZWA kazi.
Kwa Tanganyika Ukigushi hupelekwi Mahakamani ili kuthibitisha hilo KOSA badala yake Unafukuzwa kazi lakini UNALIPWA
Hao ndo waliofoji VYETI WATATOA WAPI HOJA ZAIDI YA MATUSI?Jamani watanzania wenzangu🙆Dah badala ya kushambulia hoja tunamshambulia mtoa hoja,?
Kwa design hii ni bora washatakiwe tu maana inaonekana watZ wengi ni vyeti feki tu.Hao ndo waliofoji VYETI WATATOA WAPI HOJA ZAIDI YA MATUSI?