sababu zangu ni hizi hapa;
1. Kuwapatia staha, waheshimike na kuthaminika katika shule na jamii kwa jumla. Mkuu anayeheshimika atajiamini; mkuu anayejiamini ataongoza taasisi vizuri sana.....kukimbizana kwenye mabodaboda na kuoga mavumbi kwa watu waliopewa dhamana ya kusimamia eneo linaloleta uhai wa taifa si vema.
2. Kurahisisha shughuli za uendeshaji wa shule hususani kipindi hiki ambacho mbio za kuyatafuta matokeo ni kubwa
3. Ni biashara yenye faida kwa serikali
4. Kuwabadilisha wakuu wawe wa kisasa.......mambo ya kusukumwasukumwa kwenye gari au kufika mjini una matongotongo ya vumbi si vema kwa mkuu wa shule
5. Inawezekana kama ilivyowezekana kwa maafisa kilimo na waratibu
6. Itafanya watu waihusudu kazi ya ualimu......hili ni janga
7. Itawasaidi wakuu wengi kuondokana na unyonge......unyongecsi mzurivkatika utawala.
8. Itaongeza uwajibikaji n.k
Wakopesheni hata kama itakuwa mkopo wa miaka 7.
Wakopesheni magari yasiyozidi milioni 12.
Yaani iwe no mkopo wa gari no ukuu.
Wakoesheni kama mnavyowakopesha kwa ulazima wabunge.
Nawasilisha wadau!!