Kuna watu mnawajua Sana walimu kuliko wenyewe wanavyojijua.Gari inakua big deal Sana Kwa mwalimu Hadi aliwe! Nchi hii dharau Kwa walimu ni kubwa Sana aiseeKumbe huwapendi waalimu wewe.....yaani uwaongezee gharama za maisha tena? MTU hakosi staha kisa hana gari,labda ungesema serikali iwawezeshe watumishi kwa kuwawekea mazingira wezeshi ili kuwainua kiuchumi
Labda wapewe pikipiki maana kuna mazingira mengine hayafai kwa gari kabisa.
Lakini pia angalia na side effects,walimu watashinda kwa waganga wakirogana ili wateuliwe.
Vile vile walimu wakike wengi wataliwa kimasihara wakigombania gari.
Iwanunulie magari, si KUWAKOPESHA. Mmewanyanyasa na kuwapuuza kwa muda mrefu. Mmesahau kuwa mko juu kupitia mikono ya walimu wenu.sababu zangu ni hizi hapa;
1. Kuwapatia staha, waheshimike na kuthaminika katika shule na jamii kwa jumla. Mkuu anayeheshimika atajiamini; mkuu anayejiamini ataongoza taasisi vizuri sana.....kukimbizana kwenye mabodaboda na kuoga mavumbi kwa watu waliopewa dhamana ya kusimamia eneo linaloleta uhai wa taifa si vema.
2. Kurahisisha shughuli za uendeshaji wa shule hususani kipindi hiki ambacho mbio za kuyatafuta matokeo ni kubwa
3. Ni biashara yenye faida kwa serikali
4. Kuwabadilisha wakuu wawe wa kisasa.......mambo ya kusukumwasukumwa kwenye gari au kufika mjini una matongotongo ya vumbi si vema kwa mkuu wa shule
5. Inawezekana kama ilivyowezekana kwa maafisa kilimo na waratibu
6. Itafanya watu waihusudu kazi ya ualimu......hili ni janga
7. Itawasaidi wakuu wengi kuondokana na unyonge......unyongecsi mzurivkatika utawala.
8. Itaongeza uwajibikaji n.k
Wakopesheni hata kama itakuwa mkopo wa miaka 7.
Wakopesheni magari yasiyozidi milioni 12.
Yaani iwe no mkopo wa gari no ukuu.
Wakoesheni kama mnavyowakopesha kwa ulazima wabunge.
Nawasilisha wadau!!
waalimu wakuu wengi mishahara mikubwa tu.labda hawa wa mbio wenye degree.Kumbe huwapendi waalimu wewe.....yaani uwaongezee gharama za maisha tena? MTU hakosi staha kisa hana gari,labda ungesema serikali iwawezeshe watumishi kwa kuwawekea mazingira wezeshi ili kuwainua kiuchumi
Labda wapewe pikipiki maana kuna mazingira mengine hayafai kwa gari kabisa.
Lakini pia angalia na side effects,walimu watashinda kwa waganga wakirogana ili wateuliwe.
Vile vile walimu wakike wengi wataliwa kimasihara wakigombania gari.
Walimu wanadharauliwa na serikali iliowaajiri. Ikiwa walimu wakike wanaliwa kimasihara tu kisa kuhamishiwa mjini au dili LA kusimamia mtihani sembuse gari? Wataliwa sana.Kuna watu mnawajua Sana walimu kuliko wenyewe wanavyojijua.Gari inakua big deal Sana Kwa mwalimu Hadi aliwe! Nchi hii dharau Kwa walimu ni kubwa Sana aisee
Mkuu shule zingine hazifikiki kwa sababu ya miundo mbinu so bora pikipiki kuliko gari ALAFU fikiria mwalimu amepaki nje gari alafu wanafunzi wanakaa nje kwenye mawe?waalimu wakuu wengi mishahara mikubwa tu.labda hawa wa mbio wenye degree.