- Thread starter
- #21
fikiria kabla ya kuongeaYakipita kwetu kwenda kenya tunazidisha kodi mara dufu wakawauzie aghali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fikiria kabla ya kuongeaYakipita kwetu kwenda kenya tunazidisha kodi mara dufu wakawauzie aghali.
We umefikiria nini?kwa hiyo tuzuie mahindi ya Zambia na yetu hayatakiwi?fikiria kabla ya kuongea
kwa bei gani sasa kama ya zambia ni bei ya chini?,Kwani lazima yauzwe Kenya, hapo kwa wananchi wa Sumbawanga, Mbeya, Songwe na Ruvuma watayauza Zambia na Kenya watayanunua wakijua yametokea Zambia
wanaongea tu hawajui soko la mahindi ya tanzania kubwa liko kenyakwa bei gani sasa kama ya zambia ni bei ya chini?,
bora tulishie mifugo tu
kwa bei gani sasa kama ya zambia ni bei ya chini?,Kwani lazima yauzwe Kenya, hapo kwa wananchi wa Sumbawanga, Mbeya, Songwe na Ruvuma watayauza Zambia na Kenya watayanunua wakijua yametokea Zambia
kwa bei gani sasa kama ya zambia ni bei ya chini?,Kwani lazima yauzwe Kenya, hapo kwa wananchi wa Sumbawanga, Mbeya, Songwe na Ruvuma watayauza Zambia na Kenya watayanunua wakijua yametokea Zambia
mkuu umesahau TAZARA ni reli inayomilikia na zambia na Tanzania,unawapangia vipi wazambia mizigo ya kupitisha?,Labda yatoke kwa ndege zambia hadi kenya
mkuu umesahau TAZARA ni reli inayomilikia na zambia na Tanzania,unawapangia vipi wazambia mizigo ya kupitisha?,Labda yatoke kwa ndege zambia hadi kenya
Labda watumie njia hiyo, and of course wana shirika kubwa la ndege ingawa is it economically viable kusafirisha low value crops kama mahindi kwa ndege?mkuu hujui kama kuna ndege za mizigo zenye uwezo wa kubeba mpaka tani 500?
Io 640 tons ni uzitovwa ndege yenyewe ikiwa tupu + mafuta + maximum payload. Na kwa Antonov 225 maximum payload(Mzigo unaosafirishwa) ni 250 Tons.Antonov An225 inabeba tani 640 na inauwezo wa kuimeza boeing 737
Nani sasa mwenye uwezo mdogo wa kufikiri mkuu, serikali yao au yetu?Nani apotezee muda kuzungumza na mtu ambaye unamuona ana uwezo mdogo wa kufikiri
Tutashusha tu hakuna namna maana bei zetu wakati mwingine zinapangwa kuangalia uadimikaji wa bidhaakwa bei gani sasa kama ya zambia ni bei ya chini?,
bora tulishie mifugo tu
Gharama zake za usafiri umezifikiria?mkuu hujui kama kuna ndege za mizigo zenye uwezo wa kubeba mpaka tani 500?
Gharama zake za usafiri umezifikiria?mkuu hujui kama kuna ndege za mizigo zenye uwezo wa kubeba mpaka tani 500?
Gharama zake huwezi kulinganisha na barabara au train.Antonov An225 inabeba tani 640 na inauwezo wa kuimeza boeing 737
Zinapita anga lipi?mkuu hujui kama kuna ndege za mizigo zenye uwezo wa kubeba mpaka tani 500?