Serikali walikosea kwenye swala la uuzaji wa mahindi

Serikali walikosea kwenye swala la uuzaji wa mahindi

mkuu hujui kama kuna ndege za mizigo zenye uwezo wa kubeba mpaka tani 500?
Labda watumie njia hiyo, and of course wana shirika kubwa la ndege ingawa is it economically viable kusafirisha low value crops kama mahindi kwa ndege?
Labda tu niseme kwamba, katika biashara baina ya nchi hizi mbili kwa maana ya export-import, Kenya inafaidika zaidi kwa kuingiza nchini bidhaa zenye thamani kubwa zaidi kuliko sisi - nafikiri ni almost two times ya kiasi tunachopata kwa kupeleka bidhaa kwao.
Kwa hiyo utaona ni jinsi gani wanavyotegemea sana soko letu and they don't have tu mess it up sababu na sisi kwa falsafa na hulka ya kiongozi huyu wa sasa tunaweza kuzuia bidhaa zote toka Kenya. Ni bidhaa ambazo tuna uwezo wa kuzalisha kama chumvi ya kaysalt(ndio inayotamba nchini kwa sasa), sabuni, plastic-wares, dairy products etc. In fact, talking about trade, they depend more on us than we depend on them.
 
Antonov An225 inabeba tani 640 na inauwezo wa kuimeza boeing 737
Io 640 tons ni uzitovwa ndege yenyewe ikiwa tupu + mafuta + maximum payload. Na kwa Antonov 225 maximum payload(Mzigo unaosafirishwa) ni 250 Tons.
 
Nani apotezee muda kuzungumza na mtu ambaye unamuona ana uwezo mdogo wa kufikiri
Nani sasa mwenye uwezo mdogo wa kufikiri mkuu, serikali yao au yetu?
Na hii maize export ban haijaanza leo hata serikali zilizopita zimefanya hivi na baada kuruhusu biashara ziliendelea kama kawaida.
 
Katika taarifa yako mbona hamna maelezo yenye kuonyesha serikali ya Kenya imepiga narufuku mahindi ya Tz?
 
Back
Top Bottom