Mtoto wa kike kadungwa mimba atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Mwanafunzi akipata mimba atatakiwa kurudi shule hiyo mimba atailea nani serikali,wafadhili au wazazi? Wanasheria na viongozi wa dini naomba maoni
Nitoe mifano live
Moja mtoto wa kike wa Samia kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Pili Mtoto wa Ndugai Spika
kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Tatu mtoto wa jaji mkuu
Kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Nne mtoto wa wakili wa kujitegemea kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Tano mtoto wa shehe mkuu wa Bakwata Shehe Zuberi
kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Sita mtoto wa kiongozi wa Shura ya Maimamu na kiongozi wa Answar Sunna
kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Saba mtoto wa kike wa Askofu Shoo au Bagonza au Askofu Mwamakula au mtoto wa Baba Askofu kakobe,Gwajima au Askofu Gamanywa au Askofu mkuu wa TAG au EAGT Mwingira au Kanisa Pentecoste kadungwa shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Nane mtoto wa mkatoliki swafi mwanawe kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule? Baraza la maaskofu katoliki jibu tafadhali
Tisa mtoto wa Maskini asiye na uwezo wowote kabisa mwanawe kadungwa mimba shule na mtoto maskini pia Nani atalea Hadi arudi shule
Wanasheria, viongozi wa dini ,mawakili na msio na dini na wazazi karibuni jukwaani maoni yenu tafadhali Nani atakuwa responsible na gharama kuanzia kulea mimba ,kujifungua ,kulea mtoto na mama yake na kugharimia malezi ya huyo mtoto mama yake akirudi shule?