abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Kabisa mkuu. Hii itafacilitate hao wadada wa persue dreams zao na kutokua tegemezi hapo baadae. Heko kwa mama Ndalichako kwa kugundua hao wadada wasiposoma jamii ndio inaathirika zaidi kulea huo mzigo.
Hizo pesa sio donation Ni mkopo ambao kila mtanzania atawajibika kuulipa hakukuwa na clause kwenye mkopo kuwa nani atakuwa responsible kwenye cost za hizo mimba kuanzia kutungwa, kuzaa, kulea, kujifungua na kulea mtoto hadi mama mzazi was mtoto kurudi shule Nani Ali negotiate huo mkopo hakuona Hilo? Kuwa Kuna issues? Issue sio tu mzazi kurudi shule Kuna issues hakutake consideration huyo negotiator?Negotiable price tu! Hata mama wa alietia mimba anakabidhiwa.. simpo mkuu (haya ndio tunayoyaweza)
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nimeuliza sababu huo Ni mkopo ambao nitalipa nisingeuliza Kama najuakwani wa kwako akidungwa mimba nani atamlea, si we mwenyewe.
Ndugu yangu huyo mtoto halazimishwi kurudi shule ni hiari yake yeye na wazee wake ndio wataamuwa kama arudi shule au alee na kuendelea kutotowa watoto wengine serikali hapo haihusiki, serikali imetowa fursa kwa anaetaka kuendelea na masomo apewe fursa.Mtoto wa kike kadungwa mimba atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Mwanafunzi akipata mimba atatakiwa kurudi shule hiyo mimba atailea nani serikali,wafadhili au wazazi? Wanasheria na viongozi wa dini naomba maoni
Nitoe mifano live
Moja mtoto wa kike wa Samia kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Pili Mtoto wa Ndugai Spika
kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Tatu mtoto wa jaji mkuu
Kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Nne mtoto wa wakili wa kujitegemea kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Tano mtoto wa shehe mkuu wa Bakwata Shehe Zuberi
kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Sita mtoto wa kiongozi wa Shura ya Maimamu na kiongozi wa Answar Sunna
kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Saba mtoto wa kike wa Askofu Shoo au Bagonza au Askofu Mwamakula au mtoto wa Baba Askofu kakobe,Gwajima au Askofu Gamanywa au Askofu mkuu wa TAG au EAGT Mwingira au Kanisa Pentecoste kadungwa shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Nane mtoto wa mkatoliki swafi mwanawe kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule? Baraza la maaskofu katoliki jibu tafadhali
Tisa mtoto wa Maskini asiye na uwezo wowote kabisa mwanawe kadungwa mimba shule na mtoto maskini pia Nani atalea Hadi arudi shule
Wanasheria, viongozi wa dini ,mawakili na msio na dini na wazazi karibuni jukwaani maoni yenu tafadhali Nani atakuwa responsible na gharama kuanzia kulea mimba ,kujifungua ,kulea mtoto na mama yake na kugharimia malezi ya huyo mtoto mama yake akirudi shule?
Mimi kitu ambacho mpaka leo hakijaniingiaga akilini ni suala la mama kuendelea na shule wakati baba amefungwa gerezani miaka 30! Yaani mama amlee mtoto peke yake miaka yote ya maisha yake, na mtoto akose malezi ya baba. [emoji24][emoji24][emoji24]. Wajinga wanashangilia kuwa wamemkomoa mwanaume kumbe ni mateso kwa huyo mzazi wa kike na maisha yaliyojaa msongo kwa mtoto.Mtoto wa kike kadungwa mimba atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Mwanafunzi akipata mimba atatakiwa kurudi shule hiyo mimba atailea nani serikali,wafadhili au wazazi? Wanasheria na viongozi wa dini naomba maoni
Nitoe mifano live
Moja mtoto wa kike wa Samia kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Pili Mtoto wa Ndugai Spika
kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Tatu mtoto wa jaji mkuu
Kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Nne mtoto wa wakili wa kujitegemea kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Tano mtoto wa shehe mkuu wa Bakwata Shehe Zuberi
kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Sita mtoto wa kiongozi wa Shura ya Maimamu na kiongozi wa Answar Sunna
kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Saba mtoto wa kike wa Askofu Shoo au Bagonza au Askofu Mwamakula au mtoto wa Baba Askofu kakobe,Gwajima au Askofu Gamanywa au Askofu mkuu wa TAG au EAGT Mwingira au Kanisa Pentecoste kadungwa shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule?
Nane mtoto wa mkatoliki swafi mwanawe kadungwa mimba shule atalea Nani Hadi huyo binti arudi shule? Baraza la maaskofu katoliki jibu tafadhali
Tisa mtoto wa Maskini asiye na uwezo wowote kabisa mwanawe kadungwa mimba shule na mtoto maskini pia Nani atalea Hadi arudi shule
Wanasheria, viongozi wa dini ,mawakili na msio na dini na wazazi karibuni jukwaani maoni yenu tafadhali Nani atakuwa responsible na gharama kuanzia kulea mimba ,kujifungua ,kulea mtoto na mama yake na kugharimia malezi ya huyo mtoto mama yake akirudi shule?
Huo ni mkopo sio hisani ya serikali kupenda Wazazi wanafunzi ni mkopo Tena wa pesa za kigeni ambazo hata mtu mwenye mtoto ambaye hajazaa shule ataulipa ingekuwa grant au donation au serikali imetenga bajeti Sina shida lakini ni mkopo unaotakiwa kulipwa na aliyemo na asiyekuwemo kwenye hizo mimba. Sio serikali imetoa fursa imekopa mikopo yenye ribaNdugu yangu huyo mtoto halazimishwi kurudi shule ni hiari yake yeye na wazee wake ndio wataamuwa kama arudi shule au alee na kuendelea kutotowa watoto wengine serikali hapo haihusiki, serikali imetowa fursa kwa anaetaka kuendelea na masomo apewe fursa.
Sindo tutarud kulaumiana.. [emoji38] "mama na mwana" gharama z hapo zitamkumba hadi anaetegemewa na mama! Usijal kaka tutawakumbusha itakapofikiaHizo pesa sio donation Ni mkopo ambao kila mtanzania atawajibika kuulipa hakukuwa na clause kwenye mkopo kuwa Nani atakuwa responsible kwenye cost za hizo mimba kuanzia kutungwa,kuzaa,kulea ,kujifungua na kulea mtoto hadi mama mzazi was mtoto kurudi shule Nani Ali negotiate huo mkopo hakuona Hilo? Kuwa Kuna issues ? Issue sio tu mzazi kurudi shule Kuna issues hakutake consideration huyo negotiator?
[emoji38]Hufahamu kwamba mabeberu teyari wanajiandaa kutenga fungu kwa ajili ya kusaidia watoto wenye mimba.
Yani mumfunge mwanae jela miaka 30 afu akuleleeni toto lenu, hilo toto silitakuwa la laana, wakasome na mamaake darasani.Negotiable price tu! Hata mama wa alietia mimba anakabidhiwa.. simpo mkuu (haya ndio tunayoyaweza)
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38] hii koment mkuu naichongea fremyani mumfunge mwanae jela miaka 30 afu akuleleeni toto lenu, hilo toto silitakuwa la laana, wakasome na mamaake darasani.