Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

GOOD MOVE yeyote anayetaka kwenda shule aenda na asome kwa bidii hata akama ananyonyesha.Tumechelewa sana
 
Jpm akifufuka leo atahisi alikufa miaka 100 ilopita..mana hii U turn inayopigwa na wapambe zake hawezi amini.

Siasa za bongo bila unafiki huwezi ziishi.

#MaendeleoHayanaChama
SAFI SANA NDALI-CHAKO, FUTA KABISA LEGACY BUTU.
 
Taratibuuu mtaelewa tuu.. Yaani miaka mitano hii nchi iliendeshwa kihuni mnoo.. Hapa ndipo hitaji la katiba mpya linapo onekana. Sio mnaendesha nchi kama chumba cha wageni.
 
Nafikiri sera ya elimu nazo zitabadilishwa ili kutoa ruhusa ya Mama mwanafunzi kupewa ruhusa ya kwenda kunyonyesha au kuja na yaya wao shuleni hii ni kwa ajili ya welfare ya mtoto na haki ya mtoto ambazo hazijali mama kaolewa, ni mfanyakazi, mwanafunzi au hana kazi ila mtoto anahitaji huduma na upendo wa mama na kuondoa adhabu ya viboko kwa mama mwanafunzi
 
Ona wanavyoinajisi nchi. Kwa hiyo tunahalalisha wasichana kuweza kupata mimba shule. Hizi ni pressure za maliberali wa kizungu. Muda si mrefu utaona zile ngo zilizokua zinafunza watoto ushoga kuruhusiwa zirudi.
R. I. P. Magufuli
Tunatumia muda mwingi sana kutetea ujinga.

Haki ya mashoga kupata vilainishi nayo inakuja
 
Safi sana waziri, Kuna wakuu washule flani ivi, wakiona wanafunzi hawana akili au performance Yao ni ya chini darasani, walikuwa wanawasingizia Wana mimba na kuwafukuza shule, hutazani wao ndo wamewapa mimba hao wanafunzi,
Hii ndo nimeisikia leo tangu nizaliwe.
Hao walimu walitakiwa wachukuliwe hatua kali sana.
 
Narudia tena, WATANZANIA KUNA KITU HAKIKO SAWA VICHWANI MWETU. Umeandika na kufafanua vyema sana mkuu
 
Hata huyu bibi ushungi ajiangalie sn muda wake ukiisha wanamgeuka haraka sn
Sidhani kama upinduaji meza utakuwa mkubwa kiasi hiki, hata 1 financial year haijamalizika ila meza zinapinduliwa kibabe sanaa!! Huyu tabia chafu zimemponza!! Mwinyi, Mkapa & Kikwete hawakufanyiwa hivi (May be Kikwete alikuwa Victim sababu ya mtu aliyempokea kijiti alikuwa mzee wa visasi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…