Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

Hiyo nafasi nyingine unayoisema hapewi na yeyote bali mfuko wake ndo utaongea, kama hana hela itakuwa ndio basi.

Mimi nafurahi kuwa sisi wenye huruma na hawa watoto tunaelekea kushinda. Tunajua wengi wao wanapata hizi mimba kwa bahati mbaya ndio maana tuna huruma nao.

Ikiwa Mungu mwenyewe yupo fair kwetu,, nasi hatuna budi kuwa fair sisi kwa sisi.

Walakini Mshana Jr alitoa makala fulani akisema ,,kuna baadhi ya binadamu ni ukoo wa majini"
 
Kwani akibeba mimba wazazi wanaacha kulipa kodi!?? Kwanin abaguliwe? Watu wapumbavu kama wew ni hatari sana kwa ustawi wa jamii inayotafuta kuendelea,,hunyumbuliki!! Uko kama jiwe tu,ulimwengu uko kasi sana kwa sasa nchi ilitakiwa kujadili kwenda anga za juu sio ujinga eti mtoto wa flani kabeba mimba asiende shule!!! Boresha maisha ya wtz muone kama hizi mimba zitakuwepo,, wanaobeba mimba wengi ni watoto wa maskini hali ngumu za maisha zinawafanya kutumbukia katika janga hilo
 
Mimba tuu umzuie mtu asipate elimu, ilikuwa sera ya kipuuzi bora wamebadilisha
Ndugu,, kuna watu hawana roho za ubinadamu humu, sioni ajabu wakikosa huruma hata kidogo kwa hivi vitoto ambavyo vingine vilibakwa, vilirubuniwa kwa kuwa bado vitoto kutokana na mazingira vinamoishi.


Lakini mtu katili hawezi pata hizi feelings,, So huwa tuko tofauti sana katika kufeel ugumu anaoupata mwenzio.
 
another controversial statement from the very same silly people. hii taarifa inaweza kuwa distorted kirahisi tu na maskini wajinga wanaoipigia kura ccm kuwa sasa serikali imeruhusu watoto kujamiiana bila kinga wakiwa shuleni na vyuoni.
 
Waondoe na sheria ya kutembea na mwanafunzi unaukumiwa Mia 30,watu wale uroda maana akimaliza kuzaa anarudi kusoma 😃😃😃😄 Misaada inalipeleka Taifa hili kubaya
 
Hili jambo mimi naliunga mkono kwa 78.9% ila ninaloon kwangu hao waliozalishwa waandaliwe shule zao maalum(watengew shule zao ) ndan ya wilaya ziwe ata shule 2 au 3 kwaajili yao , ila kama watachanganywa mtakuj kuon darasa zima ni mimba wanafunz kwa wanafunz




Yaan huko tunapoend maish n magumu kuliko TulipoToka
 
Na wenye Ukimwi watafutiwe shule zao??? Mbona mnawaza kijima sana hambadiliki kwnn !!!?
 
My take
ndoa za utoto zitakuw nyingi za kimyah kimyah , usiku kwa juma asubuh drsn. Mimba ikija atasema alikutn na mtu tuu njian akampata .
 
Yes na adhabu ya miaka 30 kwa kijana aliyempa mimba mwanafunzi inabidi ifikiriwe zaidi, ikiwezekana isiwepo kabisa
Hapa umewakilisha maoni yangu mkuu!
Hivi hiyo hoja haijawahi kuibuliwa bungeni au popote pale?
Kwakweli kijana kwenda jela na binti kuruhusiwa kuendelea na masomo hiyo siyo haki.
Bora wote waende jela. Au wote wawe huru uraiani.
 
Safi sana Waziri hii ya kunyima mtoto wa kike ilikuwa ni ukandamizaji wa kijinsia kwa wanawake by the way lengo la elimu ni kila mtu asome na kuelimika kutoa ujinga
Na vijana wa kiume wasifungwe miaka 30 waachwe nao waendelee na masomo kama kawaida kwa sababu wote walifanya tendo la ngono kwa hiari yao.
 
Sasa Mkuu kama mimba huwa wanapata bahati mbaya, unamzungumziaje kijana wa kiume?
Kwanini unamuonea huruma binti peke yake?
Binti anakatisha masomo yake ndiyo, lakini uraiani ana mambo mengi ya kufanya.
Ila kijana anapelekwa kufungwa gerezani, tena miaka 30?
Nani anapaswa kuonewa huruma hapo?
 
Kwa sisi wazazi tunasoma chapisho hili with interest
Kwamba Msingi mwanao akuletee wajukuu wawili arundike hapo, sawa ili mradi anaendelea na masomo. O-Level akuletee wawili tena. Sawa, ili mradi anasoma. A-Level akuletee mmoja. Sawa, ili mradi anaendelea na masomo!

Wewe mzazi uko juu na nakukubali!
 
Safi sana Waziri hii ya kunyima mtoto wa kike ilikuwa ni ukandamizaji wa kijinsia kwa wanawake by the way lengo la elimu ni kila mtu asome na kuelimika kutoa ujinga
Hakuna cha ukandamizaji.
Yeye anakosa elimu na aliyempa ujauzito anakula mviua 30. Huoni fate ipo balanced hapo?
La sivyo, wote binti aende jela na aliyemdunga mimba wote.
 
Wewe mwenyewe unaonaje?
Nipe maoni yako,, maana yangu yapo clear. Hili la kijana aliyesababisha nimeliongelea kwenye uzi huuhuu pia.

Si kijana tu, hata kama ni mtu mzima amesababisha - sheria ya jela mika 30 naona ilitungwa kimmihemko.
 
Hatuna hata shule za kutosha sasa, wewe unataka kujenga shule kwa wenye mimba? kwa hela gani na ni upuuzi kuwatenga kwa ajiri tuu walipata mimba
 
Mtaani kwako wamebakwa wangapi? Au kujipendekeza na kuendekeza nyege ndiko kumefanya wajazwe

Malezi mabaya na wazazi kushindwa kutimiza wajibu wao.
vijana wanatumia hiyo nafasi kuhudumia matokeo yake mtoto anapata mimba.

alfu arudi shule hapana kwakweli hata kama ni mwanangu siwezi kufanya huo upumbavu..

Timiza wajibu wako hutoona mimba kwa mwanao..bichwa wewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…