Sheria ya shule zote tz inasema kujihusisha na ngono ni kosa la kufukuzwa shule, kwa hio kupata Mimba ni ushahidi kuwa mwanafunzi alikuwa anafanya ngono, Sasa hii Sheria inabidi ifutweSheria inasema kumchakaza "Minor" ni sawa na ubakaji, na ubakaji hukumu yake ni miaka 30. But hakuna sheria inayosema mtoto wa kike akipata mimba asirudi shule baada ya kumaliza mambo ya uzazi