Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

Serikili Kwa hili wapo sahihi Kwa asilimia mia.Elimu ni haki ya Kila mtu pia ukiangalia kwa undani watoto wengi wanapata mimba kutokana na umasikini wa familia zao.Pamoja na hili kufanyika lakini serikali ije na makakati wa kupunguza umasikini Nchini ili tatizo la mimba za utotoni lipungue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunatumia muda mwingi sana kutetea ujinga.

Haki ya mashoga kupata vilainishi nayo inakuja
Hata wao ni binadamu na wengi wamekuwa hivyo kwa bahati mbaya
Ataehukumu kwa haki ni Mungu pekee
Hiyo adhabu sijawai kuikubali japo nina vijana wa kike. Naunga mkono apewe adhabu lakini si mika 30 jela.
Mtoto anayezaliwa anazaliwa huku baba yupo jela. Na huenda wakaja kuonana baba ni mzee wa mika 60.
Hapa adhabu anapewa mzazi wa binti kazi ya kulea mtoto ambaye baba aliepaswa kumtunza mtoto kawekwa jela.

Ifike hatua tuwe na umoja wa wazazi wa watoto wa kike tukemee hii adhabu ambayo wanapewa wazazi wa binti. Kwani hii itamlazimu mzazi kumsomesha binti yake na baadae asomeshe tena na mjukuu kitu ambacho ni adhabu iliyopitiliza
 
Serikili Kwa hili wapo sahihi Kwa asilimia mia.Elimu ni haki ya Kila mtu pia ukiangalia kwa undani watoto wengi wanapata mimba kutokana na umasikini wa familia zao.Pamoja na hili kufanyika lakini serikali ije na makakati wa kupunguza umasikini Nchini ili tatizo la mimba za utotoni lipungue.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaangalia upande moja tu, badala ya kukazana na maadili mnawaza kurudisha watoto mashuleni hamjui kuwa itavuruga maadili?

Angalau wangesema wataboresha miundo mbinu na kuzuia mimba za kabla ya wakati...Siungi mkono hili wala sipo kwenye hili...Huwezi kuhlalisha wizi eti kwakua mwizi ni mhitaji what kind of society are we building? Hao wakizungu watoto wao wanabeba mimba shuleni?
 
Shule ya kanisa zitapata wanafunzi wengi mno

Ewe mzazi usiotaka huo ujinga elekeza mtoto akasome shule za msingi na secondary za kanisa

Usimpeleke kwingine atasoma na wazazi wa kike na kiume watamharibu

Naziona shule za kanisa zinarudi kwenye ubora wake kana tegemeo pekee la kuzalisha watoto Wenye maadili na wanaozingatia shule tu Kama agenda kuu wakiwa shuleni

Shule za kanisa ndizo pekee zitakazomokoa mwanao na mmomonyoko wa maadili mtoto akiwa anasoma kuwa asiwaze kidume Wala kijike hata kiwe na pesa kuliko Bakhresa agenda kusoma tu Hadi kieleweke
Shule za kanisa jiandaeni kupokea mafuriko ya wanafunzi darasa la kwanza mwakani

Tangazeni bila aibu Wala hofu msimamo huo wa serikali na washaurini waumini wapeleke watoto shule za kanisa kwa future nzuri za watoto wao
 
Shule ya kanisa zitapata wanafunzi wengi mno

Ewe mzazi usiotaka huo ujinga elekeza mtoto akasome shule za msingi na secondary za kanisa

Usimpeleke kwingine atasoma na wazazi wa kike na kiume watamharibu

Naziona shule za kanisa zinarudi kwenye ubora wake kana tegemeo pekee la kuzalisha watoto Wenye maadili na wanaozingatia shule tu Kama agenda kuu wakiwa shuleni

Shule za kanisa ndizo pekee zitakazomokoa mwanao na mmomonyoko wa maadili mtoto akiwa anasoma kuwa asiwaze kidume Wala kijike hata kiwe na pesa kuliko Bakhresa agenda kusoma tu Hadi kieleweke
Shule za kanisa jiandaeni kupokea mafuriko ya wanafunzi darasa la kwanza mwakani

Tangazeni bill aibu Wala hofu msimamo huo wa serikali na wadhaurini waumini wapeleke watoto shule za kanisa
Daah I am ashamed of myself!
Hii piga ua garagaza siwezi unga mkono waziri huyu kwanza ni bendera fuata upepo na hana maamuzi binafsi...Pathetic...Nimekasirika sana na hili jambo!
 
Daah I am ashamed of myself!
Hii oiga ua garagaza siwezi unga mkono waziri huyu kwanza ni bendera fuata upepo na hana maamuzi binafsi...Pathetic...Nimekasirika sana na hili jambo!
Alitakiwa ajiuzulu kulinda heshima yake apishe mwingine ndie atoe Hilo tamko
 
Serikili Kwa hili wapo sahihi Kwa asilimia mia.Elimu ni haki ya Kila mtu pia ukiangalia kwa undani watoto wengi wanapata mimba kutokana na umasikini wa familia zao.Pamoja na hili kufanyika lakini serikali ije na makakati wa kupunguza umasikini Nchini ili tatizo la mimba za utotoni lipungue.

Sent using Jamii Forums mobile app
We utakuwa si mwafrika...Yaani mtoto ashindwe kuwa mvumilivi aanza upuuzi mapema kisha tubariki haya mambo?
Badala ya kuboresha miundo mbinu, mnaboresha uzinzi?
 
Peleka ujinga wenu huko na Mwendazake,iweje mimba imnyime mtu elimu?

Alafu alikuta watoto wenye mimba wanasoma akaja kufuta Kwa upuuzi wake kwa hoja za kijinga..

Safi Sana Samia kwa kuwaheshimisha na kuwajali wanawake wenzio.
Hivi nyie wasenge mnaotetea huu ujinga, hivi hao mabeberu watoto wao wanaruhusiwa kusoma na vichanga madarasa ya msingi na sekondari??
 
Waziri kashasema, wewe nani mpaka uanze kuediti?
Tatizo hamfatilii uhalisia mnafatilia matamko nilichoandika ndo kilivyo, shule zinaandaliwa Sasa na watoto wanaotakiwa kusoma hizo shule wanatafutwa Ili waende shule wewe subiri January utaona kama watasoma wote na kama unabisha uliza kama elimu ya watu wazima kama haianzi January, hata la vyeti feki mlibisha mbona lilikanushwa? Nasema hao watoto wamepewa ruhusa ya kurudi shule ila mfumo utaotumika ni elimu ya watu wazima.
 
Safi, ILIMU DUNIA ni haki ya kila mwananchi. Waziri amefanya jambo jema.
Mungu akiamua kuwaita kuongoza Malaika Rais ajaye na waziri watasema hakuna sheria ilikuwa matakwa yao.
 
We utakuwa si mwafrika...Yaani mtoto ashindwe kuwa mvumilivi aanza upuuzi mapema kisha tubariki haya mambo?
Badala ya kuboresha miundo mbinu, mnaboresha uzinzi?
Hapana sio hivo kijana ebu soma utafiti kuhusu Sababu za mimba za utotoni nchini Tanzania uone majibu yake ,pamoja na kwamba swala la maadili kupolomoka lakini umasikini ndiyo chanzo kikubwa Cha mimba za utotoni.
Pia kumbuka wapo wengi tu ambao wamepata mimba wakiwa shuleni lakini walivopta nafasi Tena ya kukudi shule walifabya vizuri.
Kumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunatumia muda mwingi kupromote na kutetea mambo ya hovyo kwenye jamii.

Yani asiyefuata maadili anaenda kuchanganywa na wanaofuata maadili baada ya miaka 10 wote unakuta wameoza.

Wamemwandaa nani wa kuacha shughuli zake alee hao watoto watakao zaliwa na kuachwa na wazazi wao? Maana baba ataenda jela miaka 30 na mama atarudi shule.

Muda si mrefu na haki ya vilainishi itaruhusiwa
Hawatachanganywa ila watasoma tofauti tena elimu ya watu ya wazima, hizi mtu akibeba mimba apoteze miaka miwili mitatu nyumbani atarudi akiwa sawa wenzake aliowaacha shule? Hao watoto Sasa hivi wameandaliwa shule zao tofauti Kila mkoa zipo zinaandaliwa watazikuta January.
 
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari watakaokatisha masomo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto mbalimbali za kifamilia watapewa fursa ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi.

Waziri Ndalichako ametoa kauli hii leo akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma kuhusu mafanikio ya Sekta ya elimu katika kipindi cha miaka 60 "leo natoa waraka wa elimu ambao utaelezea ni lini Wanafunzi watakaokatisha masomo kwa sababu ya mimba na changamoto nyingine watapaswa kurejea Shuleni, leoleo natoa waraka hakuna kupoa, zege halilali"

Wizara ya Elimu inaelezea mafaniko yake ndani ya miaka 60 ya Uhuru kwa kutumia hashtag ya "Tunaboresha Elimu yetu"

My Take
Kama mnakumbuka tuliishauri sana serikali na maamuzi haya ya hovyo,ikakaza shingo. Waziri Ndalichako alikuwepo, mama Samia alikuwepo. Kwa mantiki hii Waziri anatakiwa ajiuzuru kwa kutokuwa na msaada wowte katika nchi ukizingatia kuna wanafunzi wameshaadhirika.
ulikuwa unataka ukishauri kitu tu wakati huohuo kitekelezwe? umekuwa nani nchi hii ? sasa wamerudisha mnataka wajiuzuru unataka ukawe waziri wewe au ? acheni vimuhemuhe
 
Mabinti sasa Ngono kama ubuyu, hawatakuwa na wasiwasi tena.
Ruhusa hii inahitaji Tahadhari sana
Mabinti wa hivyo niwapumbavu, ubebe mimba mtoto mdogo ukae nyumbani umalize uzazi na muda wa kunyonyesha ukija kurudi shule umeshapoteza miaka mitatu nyumbani hizo zitakuwa akili gani mpaka ujiachie tu ubebe mimba hovyo hovyo?
 
Hayati Magufuli akifufuka leo atahisi alikufa miaka 100 ilopita mana hii U turn inayopigwa na wapambe zake hawezi amini.

Siasa za bongo bila unafiki huwezi ziishi.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu,
Umeona eee... kumbe Ndalichako huyu siyo yule wa Magufuli! Yale yale akiwa NECTA!
 
Hata wao ni binadamu na wengi wamekuwa hivyo kwa bahati mbaya
Ataehukumu kwa haki ni Mungu pekee

Hapa adhabu anapewa mzazi wa binti kazi ya kulea mtoto ambaye baba aliepaswa kumtunza mtoto kawekwa jela.

Ifike hatua tuwe na umoja wa wazazi wa watoto wa kike tukemee hii adhabu ambayo wanapewa wazazi wa binti. Kwani hii itamlazimu mzazi kumsomesha binti yake na baadae asomeshe tena na mjukuu kitu ambacho ni adhabu iliyopitiliza
Kwani mtoto ni jukumu la wazazi kumulea na kumpa elimu kama amepata mimba hilo ni swala la kukosa maadili au uzembe wa kusababishiwa hivyo bado ni jukumu la mzazi kumlea na kumrudisha njia rasimi.
 
Serikili Kwa hili wapo sahihi Kwa asilimia mia.Elimu ni haki ya Kila mtu pia ukiangalia kwa undani watoto wengi wanapata mimba kutokana na umasikini wa familia zao.Pamoja na hili kufanyika lakini serikali ije na makakati wa kupunguza umasikini Nchini ili tatizo la mimba za utotoni lipungue.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye umasikini ndo serikali ikazie kwa kutoa ajira nyingi na kuweka mfumo wa Kila mtu afanye kazi na kuondoa mafundisho ya kuishi kwa bahati au Kila mtoto na bahati yake hayo mafundisho yaondolewe kabisa na umuhimu wa kazi iwe lazima kwa Kila mtu hata kwa kuchapwa viboko wale wasiofanya kazi yaani kazi iwe lazima na Waziri wa kazi apewe jukumu lakufatilia nani Hana kazi Ili tatizo lijulikane ni nini.
 
Back
Top Bottom