Serikali wanawatumia Yanga kuzima upepo wa Vijana wa No reforms

Serikali wanawatumia Yanga kuzima upepo wa Vijana wa No reforms

Kama watakua wamefanya hivyo basi plan Yao itakua ni ya muda mfupi sana maana ikishapita tarehe 15 raia wataendelea kudai Reforms kama kawaida
Kwa ccm kila jambo linawezekana. Kama msemaji mwenyewe ni Amosi makala? Badala ya kujibu hoja anakimbilia mpox na ebola! Hapo kuna nn???
 
Tunaposema hii ni agenda ya Kitaifa watu wakadhani masihara kila pahala ni swala la muda tu tumepata mfano wakuongeza mikutanoni kama wewe ni mwana Yanga No reform No Election unatakiwa kuuishi kwavitendo hawa TFF na Bodi ya ligi ndio tunavyowaona INEC na Gavoooo
 

Attachments

  • 20250608_081654.png
    20250608_081654.png
    104.7 KB · Views: 17
Wewe utakuwa mpuuzi na upuuzi wako, yanga anaingiaje kwa madai ya chadema? Kwa mtu mwenye akili ataielewa yanga ila kwa mshabiki na takataka atabaki kuzungusha kiuno chake. Yanga anachodai ni sawa na chadema anacho dai!!.

Yanga anadai Bodi ya ligi inayotumia madaraka yake vibaya ijiuzuru/iwajaibike kwa upuuzi wo waliofanya trh 8, Na yanga kasisitiza kama hakuna uwqjibikaji wa bodi HACHEZI.
Chadema wanadai tume huru ya uchaguzi ndio waingie kwenye mchakato wa uchaguzi, na wamesisitiza kama hakuna marekebisho HAKUNA UCHAGUZI!!.
tofauti ya hoja za yanga na Chadema ni jukwaa la kudai haki tu ila malengo ni yaleyale kuwa na mifumo huru na yenye kutoa haki kwa pande zote shiriki.
 
Back
Top Bottom