Wewe utakuwa mpuuzi na upuuzi wako, yanga anaingiaje kwa madai ya chadema? Kwa mtu mwenye akili ataielewa yanga ila kwa mshabiki na takataka atabaki kuzungusha kiuno chake. Yanga anachodai ni sawa na chadema anacho dai!!.
Yanga anadai Bodi ya ligi inayotumia madaraka yake vibaya ijiuzuru/iwajaibike kwa upuuzi wo waliofanya trh 8, Na yanga kasisitiza kama hakuna uwqjibikaji wa bodi HACHEZI.
Chadema wanadai tume huru ya uchaguzi ndio waingie kwenye mchakato wa uchaguzi, na wamesisitiza kama hakuna marekebisho HAKUNA UCHAGUZI!!.
tofauti ya hoja za yanga na Chadema ni jukwaa la kudai haki tu ila malengo ni yaleyale kuwa na mifumo huru na yenye kutoa haki kwa pande zote shiriki.