AiseeWewe utakuwa mpuuzi na upuuzi wako, yanga anaingiaje kwa madai ya chadema? Kwa mtu mwenye akili ataielewa yanga ila kwa mshabiki na takataka atabaki kuzungusha kiuno chake. Yanga anachodai ni sawa na chadema anacho dai!!.
Yanga anadai Bodi ya ligi inayotumia madaraka yake vibaya ijiuzuru/iwajaibike kwa upuuzi wo waliofanya trh 8, Na yanga kasisitiza kama hakuna uwqjibikaji wa bodi HACHEZI.
Chadema wanadai tume huru ya uchaguzi ndio waingie kwenye mchakato wa uchaguzi, na wamesisitiza kama hakuna marekebisho HAKUNA UCHAGUZI!!.
tofauti ya hoja za yanga na Chadema ni jukwaa la kudai haki tu ila malengo ni yaleyale kuwa na mifumo huru na yenye kutoa haki kwa pande zote shiriki.
No reforms wanapewa umaarufu mkubwa wasiolingana nao. Uchaguzi utafanyika Oktoba 2025 hawa vijana hawafiki hata milioni mbili.Naona hii kete ya Yanga! Malengo makuu ni kuhamisha upepo wa no reforms no Election.
😃😃
Siasa za instagram zimetawala kichwa yake.Kwahiyo derby ikipita utasema serikali inatumia nini eti?
Vijana wa nchi yetu ujinga umewajaa, wanatumiwa kama condom.Hii nchi ya ajabu sana,,, kwa hiyo kisa NRNE kusitokee jambo lingine lolote ? Nje na siasa lazima mambo mengine yaendelee !
Umechangia tone tone ? Kama bado wasaa ni huu
October nenda kapige kura hiyo no reform haina mashiko, daftari la kudumu limeboreshwa tangu mwezi March.Upepo wa No Reforms hakuna wa kuuzima, wale wahuni wa CCM waliovamia mikutano ya No Reforms huko Tabora wamekipata wanachostahili